Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari zenu wakuu,
naomba wenye ujuzi na vyuo mbalimbali (vya binafsi na vya serikali), wanitajie vyuo bora katika fani ya Finance and Banking ngazi ya Diploma,
Ni IFM
habari zenu wakuu,
naomba wenye ujuzi na vyuo mbalimbali (vya binafsi na vya serikali), wanitajie vyuo bora katika fani ya Finance and Banking ngazi ya Diploma, Degree na Masters.