S Shaabukda Member Joined Apr 18, 2012 Posts 96 Reaction score 25 Jun 22, 2012 #1 Wakuu, natafuta copy ya The Finance Bill, 2012. Nimejaribu kupekuwa kwenye tovuti ya Bunge bila mafanikio. Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua namna/mahali pa kuipata kirahisi, tafadhali naomba msaada.
Wakuu, natafuta copy ya The Finance Bill, 2012. Nimejaribu kupekuwa kwenye tovuti ya Bunge bila mafanikio. Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua namna/mahali pa kuipata kirahisi, tafadhali naomba msaada.