MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kwa sababu hii kurasa inaelezea vingi.
Kwenye Maisha sio mapenzi, kazi, mahusiano ya kindugu au siasa tu, ndio vya msingi bali akili ya fedha ni sehemu Mojawapo muhimu.
Leo hatutazungumzia vyanzo vya mtu kupata pesa Wala sehemu sahihi za uwekezaji Bali kuhusu Mali watu weupe kwenye kile kisiwa kidogo kilichopo Magharibi mwa Ulaya waliita asset.
MALI(ASSET) NI NINI?
Ni kitu chochote kinachoweza kukupa manufaa ya Kiuchumi au kukuingizia pesa au kupunguza kiwango Cha deni.
Lakini pia inaweza kuelezewa kutoka katika accounting equation.
MALI (ASSET)=MTAJI (CAPITAL)+MADENI (LIABILITIES)
Maana ya Mali kutoka kwenye equation hapo juu, inaelezea ya kwamba;
Mali ni jumla ya mtaji ulionao jumlisha na madeni.
Hivyo mtu anatakiwa awe anajua aina ya Mali anayomiliki.
Inaweza kuwa Mali Mtaji(Capital) au Mali deni(Liability).
Mfano: kumiliki nyumba ya kuishi wengi uhesabu ni Mali bila kujua ni aina Gani ya Mali.
Nyumba ya kuishi Ina weza kuwa Mali Mtaji au Mali deni.
Inawezaje kuwa Mali deni?
Rahisi tu, ili iwe deni lazima iwe inakutoa pesa (cash outflow)
Nyumba za Sasa zinalipiwa;
Kodi ya majengo(property tax)
Umeme(Electricity)
Water utility (Maji)
Gharama za marekebisho (Maintainance cost)
Bima (Insurance)
Hivyo kwa mtu aliyejenga nyumba ya makazi na akiihesabu ni Mali basi ajue Hilo ni deni(liability).
Hata gari la kutembelea kwa watu wanaofahamu maana ya Mali watakwambia Hilo ni deni yaani Liability.
Kivipi?
Gari linalipiwa vitu ifuatavyo:
Mafuta (Diesel/Petrol)
Bima(Insurance)
Gharama za matengenezo (Maintenance cost)
Faini za Traffic
Tozo ukitumia daraja la Kigamboni.
Kutoka accounting equation
MALI(ASSET)=DENI (LIABILITY)
LIABILITY (DENI)=ASSET(MALI) - CAPITAL (MTAJI).
DENI(LIABILITY) NI NINI?
Ni kitu chochote kinachotoa pesa Toka mfukoni mwako(cash outflow) au kupunguza pesa inayoingia mfukoni mwako (reduce cash inflow).
Hivyo kwa muktadha huo Nyumba ya kuishi na gari ya kutembelea ni Mali deni zinazokwangua hadhina yako.
Lakini hii ndio maana pekee ya Mali?
Je maana ya Mali Mtaji haiwezi kuelezea hii dhana?
Twende wote taratibu:
Mali Mtaji(Capital Asset) ni nini?
Ni kitu chochote kitakacho kuwa kinakuingizia pesa mfukoni mwako(cash inflow) au kupunguza kiwango Cha deni(reduce cash outflow)
Je, Nyumba ya kuishi inaweza kuwa Mali Mtaji? haiwezekani.
Ila Nyumba ikiwa itapangishwa basi inaweza kuwa Mali Mtaji badala ya Mali deni.
Hata gari ikiwa utaifanyia Biashara basi inaweza kutoka kwenye deni na kutengeneza Mtaji.
Kivipi?
Kwa sababu zinaingiza fedha (cash inflow) kwenye mfuko.
Kutoka accounting equation:
ASSET(MALI)=CAPITAL/OWNER'S EQUITY(MTAJI)
CAPITAL (MTAJI)=ASSET(MALI) - LIABILITY (DENI)
Hivyo inategemea Mali uliyonayo inakuletea nini? ndio tuseme una Mtaji au deni.
Vipi Viwanja na Mashamba? Inategemea
Vipi Nyumba za kupangisha mnaziita apartment, Mali Mtaj
Biashara ? Inategemea

Upvote
1