Unajua POLICE wanalala sana maeneo ya Kimara home haipiti wiki majambazi yanatanua tu na kuchukua pesa zao sasa hivi tumesha zoea yaani haipiti wiki mtu kapigwa risasi mtu kajeruhiwa mara tumelazwa chini yaani tabu tupu........polisi amkeni mnakula dili nini???
Unilever ni Kampuni gani hiyo?
...Abdul Masoud aliuwawa nyumbani kwake Temeke na hawakuchukua hata kijiko.Hebu tupe data zaidi, ukiangalia issue hii inafanana na ya mtangazaji mmoja wa zamani sikumbuki jina lake aliuwawa on the same grounds