Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Asubuhi hii napitia charts za financial instruments, nikaona Bitcoin inaendelea ku shoot kuelekea USD 100,000 kwa Bitcoin moja. Nimekuwa nikiiangalia Bitcoin tangu ikiwa USD 450 mwaka 2015.
Maana yake hata kwa miezi 3 ilopita imefanya move ya karibu USD 40,000 kutoka USD 50,000 mpaka USD 90,000
Anyway, najua humu mtandaoni kuna negative senyiments kuhusu masoko ya fedha, ila ambacho nazidi kusisitiza watu ni kwamba, hichi kitu financial markets kitabaki kuwa the most lucrative business.
Ila ubaya wake ni kwamba, its a lucrative business for really smart persons. Yaani kujua where does the trend move ni kitu ambacho kinahitaji research za hali ya juu sana, it span across projecting the state of the economy to interest rate and how assets might behave in the medium term and short term. Ukisoma vitabu vingi vya hedge fund managers utapata ufundi mwingi sana juu ya financial markets, these guys all of them where really smart. Ukimtaja George Soros, Michael Steinhardt, Ray Dalio, Stan Druckenmiller etc etc. So its not for everyone.
Ukienda kwenye private equity world huko ndo balaa zito, watu wanatengeneza billions and billions kwa kutumia akili. Ukimsoma Bruce waserstein utapata madini mengi au maandiko ya Michael Milken
Nikaja na conclusion moja kwamba, hapa duniani Mungu ameweka fursa za kila namna kwa mwanadamu kufanikiwa. Ukiona mtu haufanikiwi ni kwamba tu haujataka kufanikiwa au unaenda njia ambazo sio sahihi kulingana na uwezo wa akili yako.
Mafanikio hayapo kwenye kilimo tu peke yake, kuna hii financial markets sema ubaya wake hii inahitaji vichwa tu. I become very much entertained kuona vijana wa online wakiwa wanachora chora lines ku predict trends... hahahaha