find doctor

wisely daughter

New Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1
Reaction score
0
hivi kovu la kuungua linaweza kufutika Kabisa na sehemu iliyoungua irudi kama ilivyokuwa mwanzoni? kwa kupitia wenzetu India?
 
Inategemea umeungua kiasi gani kuna grade tofauti za kuungua kwa sababu kumbuka ngozi ya mwanadamu ina layers 3 tofauti zilizopandikizana,ya juu ni EPIDERMIS, kisha DERMIS na HYPODERMIS/SUBUCTANEOUS !

Kuungua kumegawanyika kwenye grade 3
  1. FIRST DERGEE BURN-mfano kuungua na jua,ambapo ngozi ya juu ndo inaungua(outer layer of skin)
  2. SECOND DEGREE BURN-hii inaweza iharibu epidermis layer of skin,kusababisha malengelenge,kuvimba mfano kuungua na maji ya moto au kuguswa na kitu cha moto
  3. THIRD DEGREE BURN ambayo inaharibu epidermis na dermis hata hypdermis layer mfano kuungua na moto.Ngozi inabadilika unakuwa hauna vinyoleo au kuwa inayoteleza hapa kuna uwezekano ubadilishwe ngozi uwekewe ngozi mpya katika hilo eneo uliloungua
Naomba ufafanue uliunguaje?na maji ya moto?mafuta?moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…