Fine Living: Kulikoni Azam TV?

Fine Living: Kulikoni Azam TV?

Fatma-Zehra

Senior Member
Joined
Oct 18, 2020
Posts
192
Reaction score
1,063
I love this channel, hasa mapishi na real estate including interior design ya nyumba. Toka mwaka uanze Azam wameiondoa. Wameleta "Real Time" ambayo kusema ukweli lo! Kulikoni Azam TV?
 
Ata real time ni nzuri sna ipe muda utaipenda..... Binafsi fine living sijawahi kuiangalia,
Cha kuongeza kama wewe ni mpenz wa documentaries kwenye Real time zipo.
Kuna moja inaitwa Almost got away with it, ni ya wafungwa waliojaribu kutoroka na baadae kukamatwa.....
 
Azam wahuni tu!Waliondoa Chanel zote ninazopenda nimelazimika kuuza dish na king'amuzi chao na kununua DStv.Waliondoa box Africa,MBC 2,MBC 3,nikaona king'amuzi chao hakinifai tena
 
Fine living nilikuwa naipenda sana kwa ajili ya zile rehabilitation za nyumba mambo ya interior design na mengine mengi. Niliona wanasema kuwa itaondolewa tar 01/01/2021 walionza kusema ilipofika Dec 2020 so nilijiandaa kisaikolojia

Kama mtoa mada ni mpenzi wa interior design ingia youtube tafuta "house tours" utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom