Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
Jamani yule mgombea wa Chadema Finias Magesa yupo wapi?
Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana, amekuwa kimya sana na sijasikia kama anampango wa kurudi tena Busanda kukomboa jimbo la Busanda?
View attachment 10753
kwa wenye data tafadhali tujulisheni?
Thafi thana, Hapana mkuu sihitaji mawasiliano yake, niliitaka kujua kama anampango wa kurudi kutetea jimbo lake la Busanda, nikihitaji namba yake nitamsubiri hapa njia panda ya kuelekea Goba nimsimamishe anipe yeyey mwenyewe.Finias Bryson Magessa yupo Dar, ni mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa kwa sasa.
Niliongea nae hapa juzi, alisema kwamba anarudi tena Busanda kugombea ubunge kwa awamu nyingine, mara kipenga cha kampeni kitakapotangazwa rasmi na tume.
Kwa alisema anaandaa mazingira ya ushindi ili arudi akiwa amezijua mbinu za sisiemu.
Kama unahitaji mawasiliano yake nitumie ujumbe kwenye PM.
kweli?Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana
Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda "]na kushindwa vibaya sana.....
Usituletee umbea humu jamvini
kweli?
Try to be realistic ungeandika aligombea na kushindwa ungeonekana muungwana sana, angalia hizi dataJamani yule mgombea wa Chadema Finias Magesa yupo wapi?
Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana
Umbea upi huo? kusema alishindwa vibaya ndio umbea? waswahili hatupendi kukubali ukweli...