Salama wandugu,
Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine kama haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
Wao wenyewe walitaka ndani kipindi kifupi acha uzuzu weweMchakato wa kujiunga NATO si chini ya mwaka mmoja tangu nchi ipeleke maombi.
Kitulize na ujielimishe mambo kabla ya kukurupuka.
Ni mwaka na nusu mkuu hakunaga kupindishaWao wenyewe walitaka ndani kipindi kifupi acha uzuzu wewe
If his objections are overcome, and accession talks go as well as expected, the two could become members within a few months. The process usually takes eight to 12 months, but NATO wants to move quickly given the threat from Russia hanging over the Nordic countries
Jamaa anafikiri mchakato wa kujiunga NATO ni sawa na Kafulilila kujiunga CCM! Ahahahahah!!!Hivyo ni vitu vya process punguza mhemko....russia anazidi kuazirika huko
Process ya kujiunga Nato si kama ya kujiunga kifurushi. Hiyo kitu inachukua muda sana.Salama wandugu,
Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
Giyo inajulikana mkuu, lakini wao wenyewe NATO walisema watai-FAST TRACK ili wawe wanachama ndani ya miezi 6, Stolberg sijui mwenyewe aliongea.Process ya kujiunga Nato si kama ya kujiunga kifurushi. Hiyo kitu inachukua muda sana.
Currently wanasubiri majibu
Kwani miezi 6 imepita mpaka anaanza kuuliza?Giyo inajulikana mkuu, lakini wao wenyewe NATO walisema watai-FAST TRACK ili wawe wanachama ndani ya miezi 6, Stolberg sijui mwenyewe aliongea.
Kumbuka haya maneno ya waNATO
"If his objections are overcome, and accession talks go as well as expected, the two could become members within a few months. The process usually takes eight to 12 months, but NATO wants to move quickly given the threat from Russia hanging over the Nordic countries"
So jamaa kuuliza yuko sahihi
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Maombi yalipokelewa ingawa ni process mpaka wanachama wote wa Nato wapige kura ya ndio kama ulifuatilia Uturuki alileta kauzibe lakini ata kwa mujibu wa Biden sio issue, US kwanza wameona la muhimu ni kumtoa adui Ukrean na muelekeo ni mkubwa, kwa taarifa za muda huu ni kwamba hakuna mji tena kwenye eneo la Ukrean ambao Russia wameutawala pekeo yao battle inaendelea kwenye hiyo miji 4 iliyopiga kura na tayari eneo kubwa lipo mikono mwa UkreanSalama wandugu,
Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.