Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Aug 21, 2022 #21 wa kupuliza said: Eti huyu Mrembo wa-kupimwa madawa ya kulevya ndio aje apambane na mbabe Putin [emoji1][emoji1] Click to expand... Ukifika huo muda ni bunge lao ndio litaamua wanafanyaje si yeye. Mifumo ni tofauti
wa kupuliza said: Eti huyu Mrembo wa-kupimwa madawa ya kulevya ndio aje apambane na mbabe Putin [emoji1][emoji1] Click to expand... Ukifika huo muda ni bunge lao ndio litaamua wanafanyaje si yeye. Mifumo ni tofauti
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 21, 2022 #22 Hawaba kazi za kufanya...
chabuso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 6,380 Reaction score 5,884 Aug 21, 2022 #23 Yoda said: Finland ni moja ya nchi bora duniani kwa kila kitu. Click to expand... Kweli kabisa,hawa jamaa wako vizuri,mfumo wao wa Elimu ndio mfumo bora duniani kwasasa..
Yoda said: Finland ni moja ya nchi bora duniani kwa kila kitu. Click to expand... Kweli kabisa,hawa jamaa wako vizuri,mfumo wao wa Elimu ndio mfumo bora duniani kwasasa..