Kipindi wimbo huu unatoka takriban week moja iliyopita watu waliuponda sana na wengi kuanza kutabiri kuwa huu ndo muda mwafaka kwa bwana domo kushuka kimziki na dhihaka za kutosha....lakini cha kushangaza tofauti na ilivotarajiwa goma ndo linazidi kutusua yaani kitaani ni fire kila sehem radio station na TV kwa ujumla goma linazidi kukimbiza
My take mnaosubiria anguko la domo inabidi mtafute viti mkae maana miguu mwishoe itaingia tumboni kwa uchovu wa kusubiri kwa mda mrefu
#fireDTtheNewAnthemInAfrica#
My take mnaosubiria anguko la domo inabidi mtafute viti mkae maana miguu mwishoe itaingia tumboni kwa uchovu wa kusubiri kwa mda mrefu
#fireDTtheNewAnthemInAfrica#