AhsanteSawa tumekusikia promoter.[HASHTAG]#Fire[/HASHTAG] fire
Hahahabaaa mbona MJ alikuwa anapendwa na watu woteMara ya kwanza nilivyosikia Fire Fire nilifikiri nyumba inaungua. Anyway, hakuna msanii duniani anayependwa na watu wote.
Hahahabaaa mbona MJ alikuwa anapendwa na watu wote
Ndo maana ya neno wakojako cjuiSio kweli, amekufa ndio maana watu wanamkumbuka kwa mambo mazuri. MJ alikuwa joke everywhere
Bado hujawazoea wabongo mkuu..Kipindi wimbo huu unatoka takriban week moja iliyopita watu waliuponda sana na wengi kuanza kutabiri kuwa huu ndo muda mwafaka kwa bwana domo kushuka kimziki na dhihaka za kutosha....lakini cha kushangaza tofauti na ilivotarajiwa goma ndo linazidi kutusua yaani kitaani ni fire kila sehem radio station na TV kwa ujumla goma linazidi kukimbiza
My take mnaosubiria anguko la domo inabidi mtafute viti mkae maana miguu mwishoe itaingia tumboni kwa uchovu wa kusubiri kwa mda mrefu
#fireDTtheNewAnthemInAfrica#
Kuandika kwenyewe kunakushinda utajua life span ya wimbo..!!!fire ikiishi muda mrefu akatambike mond, nyimbo ya siku 30 hiyo...
Je ww umelipwa sh ngp kuja kukoment apaUnaliopwa Lakini ? Unafanya Kazi Kubwa Ya Promotion Bila Kujijua
Sawa Meneja Salam...Kipindi wimbo huu unatoka takriban week moja iliyopita watu waliuponda sana na wengi kuanza kutabiri kuwa huu ndo muda mwafaka kwa bwana domo kushuka kimziki na dhihaka za kutosha....lakini cha kushangaza tofauti na ilivotarajiwa goma ndo linazidi kutusua yaani kitaani ni fire kila sehem radio station na TV kwa ujumla goma linazidi kukimbiza
My take mnaosubiria anguko la domo inabidi mtafute viti mkae maana miguu mwishoe itaingia tumboni kwa uchovu wa kusubiri kwa mda mrefu
#fireDTtheNewAnthemInAfrica#