Firigisi kuwa laini

billduke

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
860
Reaction score
898
Waungwana naomba msaada mnielekeze jinsi ya kupika firigisi ziwe laini,maana nimejaribu zinakuwa ngumu kweli.
 
weka chumvi kidogo na chemsha kwa lisaa limoja na nusu.
 
makuku mengine huwa sio kabisa
mimi napenda kula kuku jike tena mwenye mayai ndani
ni watamu na laini
sio mjogoo una miaka mitano utachemsha lakini anaota tena manyoya ...da
 
Waungwana naomba msaada mnielekeze jinsi ya kupika firigisi ziwe laini,maana nimejaribu zinakuwa ngumu kweli.

daah kuelezea nido ngumu mkuu.........ila ni upikaji flani hivi jamani!!! sijui nikusaidiejeeeee?!?!
 
Paloma japo kidogo nipate idea maana napenda sana firigisi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…