Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Nyota wa zamani wa Roberto Firmino kwa kushirikiana na mkewe, wameanzisha kanisa huko Maceio, Brazil ambalo yeye atakuwa miongoni mwa wachungaji.
Kufunguliwa kwa kanisa hilo ni kutimia kuwa ndoto ya muda mrefu kwa Firmino kufanya huduma ya uchungaji yeye pamoja na mkewe Larissa Pereira.
Eneo la Maceio alikoanzisha kanisa hilo ndio mahali ambako mshambuliaji huyo wa Al Ahli ya Saudi Arabia alizaliwa miaka 32 iliyopita.
Firmino anakumbukwa kwa mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya Liverpool katika kipindi cha miaka nane aliyoitumikia kabla ya kutimkia Saudi Arabia.