First 11 ya Simba Fc Next season 2017/2018.

Ngoja Ligi Ianze Tuone

Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Naona kabehi zinaendelea. Hicho kikosi ni kwa ajili ya mechi za kimataifa na si vyura churani. Kama mpira wa bongo ungekuwa wa haki,kikosi hiki kinaweza kushindana tu na Hans maana naye anakikosi bora. Ila kama yule nshomile anarudi basi tutaendelea kuona madudu tu.
 
Naona kivuli chenu cha kutokujiamini kuchukua ubingwa bado kinawaandama. Kwa kifupi hicho kikosi ni cha kumfunga Yanga tuu hata kwa Kagera Sugar hamtoboi sembuse kimataifa. Halafu mwisho mwa msimu ubingwa unakwenda ulikozoea,kwa Yanga.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
puuzi mtupu. Simba baada ya kuoba hawapati vikombe wakati wenzao wanapata viikombe kwa timu ileile ya wazeee basi simba nao wameamua waunde timu ya wazee - shame
 
Ndemla ananzia bench hapana simba mnakosea sana ndemla hapaswi kuanzia bench,acheni kusajili wazee
 
Boko atatumia siku nyingi sana akiwa hospital kuliko uwanjani
 
Yaani kotei sub nyonzima kuanza? Kweli mtoa mada umechemka
 

Huyo Okwi mmemalizana? Najua atataka hela kubwa kuliko ya Niyonzima.
 
Acha uwongo ndugu kwani kabla ya huyo unayemwita nshomile kuja, simba mlichukua ubingwa lini? Mnapenda ulalamishi kama watoto wa kambo! Muwe mnachagua viongozi wasomi na waelewa kama Yanga! Tena bora kikosi chenu cha mwaka huu kilikuwa bora kuliko hicho cha msimu ujao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…