Sikonge ndugu yangu naomba back off kutetea haya ma-playboy, ni upuuzi mtupu na kwa standard za kitanzania ni porn wala hatu hitaji ku google ilikujua hili. Nakuheshimu mkuu na nisingependa mtabora mwingine auvagae mkenge ya jana yanatosha for now.
Burn,
Kama kweli wee wa Tabora hebu kwanza badili hiyo Picha yako. Unasema mie nakutia aibu wakati wee mhhh. Au ndiyo mambo ya nyani haoni.........
Mbona Erick Ngosha anawawekea magazeti haya kila siku Tanzania. Wengi hapa kabla hawajaja hapa wanaenda KUHIJI Zeutamu?
Ningeliweza basi ningelikuwa Mtanzania na Mnyamwezi wa Kwanza kufungua SEX-SHOP Sikonge. Ningeliomba kibali cha kufungua dangulo la wanawake, mashoga na Wanaume poa. Kila mwenye kiu yake hapo angelituliza ila kwa masharti kuwa lazima uvae mipira na wafanyakazi wangelikuwa wanapimwa kila mara.
Ningelianza na kushoot VIDEO za PORN ili mjue tofauti ya PLAYBOY na PORN. Na la mwisho ni kufungua CAFE kama za Uholanzi za watu kuja kuvuta NZYEMU aka Bangi aka Ma aka Marijuana aka Green etc,,,,,,,
Tabora huwezi kuaibika zaidi ya kuwa UNATOKA TABORA. Ule mkoa ni BONGE LA SOO. Yaani ni choo hasa. Wakati mwingine hadi siamini kama najiita Sikonge ila unajua tena mtu kwao..... Hivyo Tabora tu masikini wa mawazo, fikra na mali. Labda inabidi tutafute vitu vingine ambavyo vyaweza kutuletea sifa, iwe mbaya au nzuri.
Wahaya walifanikiwa. Wanapesa na aibu ziko kichogoni. Sasa hivi makabila mengine ndiyo wamechangamkia u-CD. Pesa ninazozipata basi ningelitumia kujisafisha. Wote mngeliniona saaafi. Mngelinikaribisha kila sikukuu na kunipa kiti cha mbele.
Burn, wale Vibwengo waliowekwa na RA pale UVCCM Tabora hatuwezi kuwaita ni Watabora. Sema ni wa ROSTAM AZIZ wa Igunga. Msalaba wao waubebe wenyewe. Siku kukitokea mabadiliko basi inabidi waitwe Sungusungu wawatengenezee ile RING ya FIMBO. Tena fimbo zitoke mti wa Mkwaju (msisi), watandikwe hadi walie MAYUUUUUU!!!!!!!!