Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Paul Ince amepata ile nafasi ilyoachwa wazi na Mark Hughes katika club ya Blackburn Rovers kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu. Hii inamfanya aweke historia ya kuwa mwingereza mweusi wa kwanza ku manage kwenye premier leagu, mameneja wengine wawili weusi waliowahi kupata nafasi kama hii ni Jean Tigana na Ruud Gullit. Tumuombee kheri asije akachemsha ili huu uwe mwanzo mzuri kwa ngozi nyingine nyeusi.
Milton keynes amewatema?
Namtakia kila la heri. Mafanikio yake yatawafungulia milango weusi wengine ili wapewe nafasi hiyo.
MK Dons walipomchukua walitegemea kuwa atawapandisha daraja...KB- wouldnt you? League 1 for premiership?He deserves it and I think he has done it the hard way, ameanzia chini kabisa- Macclesfield tena wakiwa kwenye janga la kushuka daraja!
MK Dons walipomchukua walitegemea kuwa atawapandisha daraja...
Dah! namkumbuka huyu jamaa....
Hivi John Barnes yuko wapi sasa hivi?