First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

Kwa kua kila mwaka kuna TO 1 kwa hiyo kunakua na 1st class ya GPA ya juu 1 tu? mkuu mwanamabadiliko utafiti wako umezingatia vigezo gani? Kozi wanazosoma, chuo wanachosoma au ni GPA kwa ma TO tu?
 
Last edited by a moderator:

Kaka tupe siri yako ya mafanikio.
 

mwanamabadiliko unawajua super human? Akina Einstein et al.,. Super human wana invent, hawakariri. Ajabu utawakuta kijijini wamejitengenezea umeme wao.
 
Last edited by a moderator:
hii mada inazidi kudhihirisha jinsi ambavyo watanzania wanahusudisha sana elimu ya kwenye makaratasi na kupata alama za juu bila kuangalia utumikaji wa hiyo elimu katika kutawala mazingira yetu kwa lengo la kuboresha maisha.

mbeba box kilaza wewe ....elimu yenyewe umeunga unga!rudi bongo tukukimbize hapa mujini.
 

hii imekaa kiudaku zaidi si kisomi, msomi anafanya research na kureport research yake. Hapa naona mizaha tu
 
Siku watu wakiniambia GPA za hawa wafuatao nitaamini GPA inamaana katika perfomance in life..Bill Gates,Steve Jobs,Reginald Mengi,David Oyedepo,Bakhresa,Kikwete,Obama,Slaa.

Huyo obama usimchanganye na hao
 
mla vumbi na mkanyaga tope umkimbize nani wewe? Kakimbize mwizi kwa babu yako huko.

huna lolote.,kazi kupondea wasomi,.shukuru mungu kwenu safi umekimbilia mbele kubeba box,.bongo ungeuza kabang kilaza ww...na wewe nenda kasome upate vyeti...
 
kuna jamaa yangu form 4 kareseat mara mbil kutafuta credid, form 6 ana div III, chuo ana GPA 4.6, mzaz inaonekana kichwa chako kina mawenge ww,hauna effect kwnye maisha, kwnza ma TO, hawaongeag kama ww, ww una matatizo ya saikolojia hukubalik na jamii
 
kama ma TO wana mawazo kama haya, bac serilikal iwe makin. Ma To watapoteza nchi
 
Napata heshima ma fans wa kila aina silii njaa nipo peace linanilinda jina,ma TO njo habare ya mujini.
 
hivi TO ndio nani kama jamii haioni umuhimu wako,uwezo wako wa kimasomo umeisadia vipi jamii yako,au ndo wale wale ma Superstar wa BSS wanaobakiza story kuwa Yule Mtu alikuwa wa KWANZA.
 

Acha uongo, mimi nilikuwa na point 11 O level, nikapangiwa shule ya serikali waalim hakuna tukawa tunajisomea wenyewe na kupata material toka kwa waseminari majirani nikaondoka na I ya pt 9 A level . Chuo nilitoka na First Class 4.7 Economics!!
 
hahaha.msikilize BILL GATES '' Your school may
have done away with
winners and losers, but life
HAS NOT. In some schools
they have abolished failing
grades and they'll give you
as MANY TIMES as you want
to get the right answer. This
doesn't bear the slightest
resemblance to ANYTHING in
real life'
 
Kila mtu, humu akijifunua anakuambia alipata one na chuo akagonga first class duh!
Bora yangu mie mkweli nilipata three na chuo nikamaliza na G.P.A ya 3.30 ya Mechanical... mwisho wa siku kazini haulipwi kutokana na G.P.A but utalipwa kutokana na performance yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…