First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

Tatizo mmemeza
Hakuna uhusiano wwte hapo
Just quick qn wamegundua chochote hao wa super humans wako??
 
Toa uwongo wako hapa
 
Nyie bisheni mana hamjui ,mi naongea fact tu hapa, sijakurupuka usingizini kuyaongea haya. Evidence zipo, vilaza wajitambue mapema

Unaongea kama vile wengine hatujasoma. Vyuo bana?
Sijawah kua na sikua TO during secondary but I have my 1st class honour plus sio mm tu na washkaj kibao wamescore almost the same
 
sasa historia ya mtu na G.p.A vinamahusioano gani? uliambiwa G.P.A inatolewa kwa ufaulu wako wa o level na A level?
hii inchi kuendelea ni ngumu sana Aisee!!!
 
Hakuna kitu kama hicho!!watu wameenda chuo maTO na wametoka na GPA za ajabu ajabu!!cha muhimu chuo na kusoma!mwenye division 3 Alevel anaweza kutaka chuo na GPA ya zaidi ya 4.

Labda ndio hao ambao wako kwenye asilimia 5.
 
Hali ikoje na kwenye 'uzamili' na 'uzamivu'?
 
Mi o'level enzi zilee div. one pts 11, A' level shule mpya yenye Mwalimu mmoja tu bila vitabu na bila maabara (wangese walioifungua kabla haijakamilika) div one pts 9. UDSM first class 4.9. Mi naangukia kundi gani?
 
Last edited by a moderator:

Nikipiga picha ya table ya data zako kwenye mind yangu naona kama ifuatavyo: jumla ya wote wanaopata first class 95% ni TO, na 5% sio TO; halafu ukienda kwenye classes nyingine TO ni 5%, na wasio TO ni 95%. Kwa statistics hizi hutakiwi kutoa hiyo conclusion yako kwa sababu haijulikani individually matokeo ya TO na sio TO yatakuwaje; hivyo wote lazima wapige kazi bila ku-glorify the past mpaka hapo game litakapokwisha.
 
Mi o'level enzi zilee div. one pts 11, A' level shule mpya yenye Mwalimu mmoja tu bila vitabu na bila maabara (wangese walioifungua kabla haijakamilika) div one pts 9. UDSM first class 4.9. Mi naangukia kundi gani?

Unaangukia kwenye 5% ya jumla ya wanaopata 1st class ambao sio TO.
 
sasa historia ya mtu na G.p.A vinamahusioano gani? uliambiwa G.P.A inatolewa kwa ufaulu wako wa o level na A level?
hii inchi kuendelea ni ngumu sana Aisee!!!

Hivyo ni vipimo tofauti vainavyopima uwezo wa mtu katika ngazi tofauti. Jamaa anataka ku-establish reliability ya hivyo vipimo na kuishia kutoa conclusions kuwa hao wanaopata ngazi za juu wengi wao ni 'super human'. Ila swali inakuwaje kwa wale ambao wanaanguka katika university level? Na pia je wanapoendelea katika 'uzamili', na 'uzamivu' bado wanaendelea kushika nafasi za juu?
 
Unaongea kama vile wengine hatujasoma. Vyuo bana?
Sijawah kua na sikua TO during secondary but I have my 1st class honour plus sio mm tu na washkaj kibao wamescore almost the same

Jamaa statistically yupo sahihi kwani wewe na washikaji wako mnaangukia kwenye 5% ya waliopata 1st class ambao sio ma-TO.
 
Aisee kingkongIII huyo!!![emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Last edited by a moderator:
Mi o'level enzi zilee div. one pts 11, A' level shule mpya yenye Mwalimu mmoja tu bila vitabu na bila maabara (wangese walioifungua kabla haijakamilika) div one pts 9. UDSM first class 4.9. Mi naangukia kundi gani?
Kundi la vilaza[emoji12] [emoji12]
 
je wewe upo kundi lipi asilimia 95% au 5%?
 
Mada mbumbu zichujwe km vipi hapa zisifike,inachosha kujadili ujinga.
 
Mada mbumbu zichujwe km vipi hapa zisifike,inachosha kujadili ujinga.
Acha watu wajadili wakipendacho. Ukionacho ujinga wewe mwingine ndo anaokotamo ukoko wa maarifa hasa ukizingatia kuwa hakuna ujinga wala werevu asilimia 100. Vitu hivi vimefungamana na kushonana my friend na ukiviangalia kwa jicho pana la kifalsafa unaweza kujifunza mambo mengi sana hata kutoka kile ukidhaniacho kuwa ni ujinga. Acha fikra huru zichanue bana...
 
hizo first class ni za vyuo gani maana kuna vyuo vingi vinasifika kwa kutoa first class tu lkn hamna kitu..navyo kumbuka kuna TO mmoja hvi alidisco coet kozi yake ilikua telecom engineering..kama ni vyuo vyenu vya kata mtapata tu hizo first class

Unamzungumzia Charles Kiombo kutoka Tosamaganga... Hahaha jamaa ni kichwa yule balaa yupe UDSM mwaka wa pili sasa anachukua Petroleum Eng.
 
Unamzungumzia Charles Kiombo kutoka Tosamaganga... Hahaha jamaa ni kichwa yule balaa yupe UDSM mwaka wa pili sasa anachukua Petroleum Eng.

Huyu jamaa c ni mwalim sa hz anahangaika tu mtaani..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…