First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

Huyu jamaa c ni mwalim sa hz anahangaika tu mtaani..!!!

Noo karudi chuo..., Now yupo hapa UDSM. ni kweli alikuwa mwalimu na alitufundisha sisi kipindi tupo Tosamaganga form six... But now karudi masomoni na anapiga petroleum Eng. Jamaa still bado yuko juu na ni jembe anajua vitu huyo balaa
 
Noo karudi chuo..., Now yupo hapa UDSM. ni kweli alikuwa mwalimu na alitufundisha sisi kipindi tupo Tosamaganga form six... But now karudi masomoni na anapiga petroleum Eng. Jamaa still bado yuko juu na ni jembe anajua vitu huyo balaa

Okay.. mi mwenyewe alinfundsha advance, yuko vzur sema ana majungu sana
 
Acha upoyoyo wewe na mshahara uko hivyohivyo ??? Acha mawazo ya kichuo njoo mtaani upambane na changamoto za maisha.
 
mwanamabadiliko nimegundu unakata tamaa mapema sana then hujiami...vinginevyo huwezi badilika...sio kweli waloom pata hizo 7 , 8....3, 4 ndo haki yao kupata first class chuo...Niligonga 2 ya 18 then 2 ya 11 but chuo nikakong'oli 4.4....trust ur self

Kweli hicho chuo lazima kitakuwa st.joseph
 

T.O wa 2003 alitoka mzumbe anaitwa lusekelo kibona na alisoma computer engineering pale COET hajapata first class na alipata upper 2nd ya kawaida tu,wa mwaka 2006 sijui anaitwa kayombo yeye alidisco hasa..so msikariri maisha,alieongoza overall 2010 UDSM yote anaitwa salome na alisoma computer science na hakuwa na hata 1 ya 3 form 6,alieongoza ardhi 2003 overall alikua na GPA ya 4.9 au 5.0 kama sikosei anaitwa tumaini kabudi mtoto wa pofesa kabudi wa pale udsm na hata hakuwa na hata 1 form 6 zaidi ya 1 yake ya form 4..so msikariri sana.
 

Kuwajua wote hao kumekusaidiaje katika maisha yako
 
Kuwajua wote hao kumekusaidiaje katika maisha yako

nimewajua kwa sababu nina interaction nao,na nawajua physically sio kuhadithiwa,lusekelo amenifundisha wakti nipo advance,salome na tumaini nimejuana nao nao kwenye mishe za maisha,maliza kwanza huko sua uliko ndio uje mtaani utajuana na watu wengi tu wenye akili kama za kwako..maana ukiwa na akili finyu na rafiki zako itakua ni hao hao,hapo sua kuna walimu wako ukiwa tayari niambie nikuunganishe nao na watakwanbia mm ni nani?kwenye mambo ya elimu nimeshazunguka sana so nina experience tosha katika elimu..na nimewajua hao coz wote ni wasomi wenzangu ambao wana akili kama zangu...
 

Ha ha ha ha.....sawa
 
"Lakini c wote" Hyo ndo point mkuu
 
Pumba zinanuka hixi
 
Kihombo jeee 😹😹😹
 
Unamzungumzia Charles Kiombo kutoka Tosamaganga... Hahaha jamaa ni kichwa yule balaa yupe UDSM mwaka wa pili sasa anachukua Petroleum Eng.
Jamaa alishafariki,dah maisha haya,ukiwa hai mshukuru sana mwenyezi mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…