Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
Niliwahi kusoma humu humu kuwa udsm tangu kitivo cha sheria kianzishwe hakuna first class zaidi ya mama Migiro.
Mutula kilonzo alimaliza udsm na kupata first class
Dr Ringo Tenga nae alipata first class 1976
Hii dhana ya kwamba vijana wanadanganywa kuwa hakuna first class kwenye kitivo fulani ili kuwagopesha si jambo jema na walimu waache ukuda kuwanyima first class vijana haingiii akilini vijana vipaji maalum Ilboru mzumbe wakose first class.
: I.K Nyani Ngabu

Last edited by a moderator: