Ulisoma vibaya ,walisema mtu wa mwisho kupata first class ya sheria ni Dr Migiro na sio kwamba yeye tu ndio alipata first classNiliwahi kusoma humu humu kuwa udsm tangu kitivo cha sheria kianzishwe hakuna first class zaidi ya mama Migiro.
Mutula kilonzo alimaliza udsm na kupata first class
Dr Ringo Tenga nae alipata first class 1976
Hii dhana ya kwamba vijana wanadanganywa kuwa hakuna first class kwenye kitivo fulani ili kuwagopesha si jambo jema na walimu waache ukuda kuwanyima first class vijana haingiii akilini vijana vipaji maalum Ilboru mzumbe wakose first class.
: I.K Nyani Ngabu
ina maana miaka zaidi ya 30 hakuna first class? sitaki kuamini kama kweli hakuna mwenye uwezo wa kukariri na kupata first class maana sheria ni kukariri tu hakuna kuelewaUlisoma vibaya ,walisema mtu wa mwisho kupata first class ya sheria ni Dr Migiro na sio kwamba yeye tu ndio alipata first class
ina maana miaka zaidi ya 30 hakuna first class? sitaki kuamini kama kweli hakuna mwenye uwezo wa kukariri na kupata first class maana sheria ni kukariri tu hakuna kuelewa
Jaribu pia University of Cape Town, kuna 'first class' karibu kila mwaka, halafu ndo ujiulize kwanini chuo chenu hakina.kama mnataka orodha ndefu ya 1st class nendeni hapo tumaini na za mafungu
Majungu, ubinafsi & lack of appreciation ndo sifa zetu kuu..! Walimu kuamini kuwa sheria ni ngumu na dent hawezi kupiga a series on A..! We have bad mentality in short..!Jaribu pia University of Cape Town, kuna 'first class' karibu kila mwaka, halafu ndo ujiulize kwanini chuo chenu hakina.
ina maana miaka zaidi ya 30 hakuna first class? sitaki kuamini kama kweli hakuna mwenye uwezo wa kukariri na kupata first class maana sheria ni kukariri tu hakuna kuelewa
Unatafuta ugomvi na wadau...ina maana miaka zaidi ya 30 hakuna first class? sitaki kuamini kama kweli hakuna mwenye uwezo wa kukariri na kupata first class maana sheria ni kukariri tu hakuna kuelewa
depends na malengo...naelekea hicho kitivyo kutimiza malengo yake ni ndoto kwa miaka takribani 30....
Kama Bilionea Nyaga hakupata first class basi udsm kuna ulakini maana hayati Nyaga alisifiwa sana na wana ilboru wenzie kuwa ni kichwa.Kizuri zaidi wakati udsm wanabana tumaini vijana wanapasua first class za kufa mtu na wanakula ajiraHata bilionea Nyaga Mawalla hakuipata hiyo festi klasi?
Na wale wenye vipaji maalum kutoka shule za wenye vipaji maalum nao hakuna hata mmoja aliyepata hiyo festi klasi?
Hivi hiyo sheria ina ugumu gani haswa? Ni ngumu kuliko sayansi ya maroketi?
Ni ngumu kuliko udaktari wa upasuaji wa moyo au ubongo?