U sure?Uyo katoka team kubwa cortuba hao wabrazil walitoka wapi?
Viwanja mnavyo au mnawaleta tu waje kucheza kwenye vumbiAzam ni mamelody Mpya usijiri umekamilikaView attachment 2855559
Team kubwa ingecheza ligi daraja laUyo katoka team kubwa cortuba hao wabrazil walitoka wapi?
Alishaacha siku nyingi ila ana connection za kutoshaYusuph bakhresa ni wakala kama hujui
DuhJana sikumuelewa huyo mchezaji anavyocheza!
Nilikua natafuta mtu aliyemuona anipe maoni yake ..eeh mkuu umemuonaje ..mikimbio ..touching ..passes ..na position..vipo hivi vituJana sikumuelewa huyo mchezaji anavyocheza!
Nitakupa mimi huyo nimeshangaa amemwangaliaje navvariNilikua natafuta mtu aliyemuona anipe maoni yake ..eeh mkuu umemuonaje ..mikimbio ..touching ..passes ..na position..vipo hivi vitu
Km hivyo vitu anavyo huyo mchezaji mengine ni matokeo,mechi ijayo nitamfuatiliaNitakupa mimi huyo nimeshangaa amemwangaliaje navvari
Jamaa ni mzuri sana
Link up play✅
Movement ✅
Shooting✅ dk 15 kapiga 4 on target
Dribbling ✅
First Touch✅
Yote ana ball knowledge (game intelligence) one two zile za ulaya anticipation ya wapi akae wapi akimbie
I'm so sure kwa jana tu nilivomuona ataongeza kitu kwenye ligi yetu sana achana tu na azam
Yani kuleta huyo mcolombia kachoka ndo ishakua mamelody?Azam ni mamelody Mpya usijiri umekamilikaView attachment 2855559