First colombian to play nbc primier league

Azam timu nzuri sana sema siasa za mpira hamna,mtaendelea kuwa namba 3 milele hata aje KDB
 
Tanzania kuna hii kasumba ya kutukuza mataifa mengine na kudharau wazawa.

Utakuta uwezo mdogo ila kisa katoka Colombia basi wanatumia mahela meengi na kuacha vipaji vingi tu hapa nyumbani.

Kama kweli upo ulazima wa kusajili mchezaji wa nje asajiliwe mwenye vitu vya ziada kuliko wazawa .

Sio kutuletea magarasa na kuwapamba kwa majina ya nchi walizotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…