First date;Naomba ushauri wenu.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari zenu wakuu .Niende kwenye maada
Ni hivi kuna msichana mmoja nimetongoza yapata miaka 2 lakini Leo amenipa green ligh/amekubali.Kuonyesha amekubali ameniomba tu date kwa siku ya kesho yaani hapa nawaza balaa.Naomba msaada kàtika mambo hoya
1]Maneno gani ya kumwambia ili nisiharibu profile yangu?
2]Matendo gani endapo nikiyafanya naweza kubadili mtizamo wake juu yangu?
3]Nifanya nini ili siku ya kesho nile mzigo.
Nawakaribisha.
Asanteni

great thinker
 
Acha Papara Pupa.. Be real and Smart ...Kuwa mstaarabu tu..First date sio lazima kula mzigo
Nashukuru sana mkuu lakini mbona kuna raia wanakamuwa ndani ya first date. Joseverest

great thinker
 
Wala usihangaike kwenda. Kuza kwanza akili yako!
 
Aisee! Unatongoza miaka miwili ?

To accomplish much you must first lose everything..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…