First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Case yangu sio mtu wa JF

Hata hivyo nilivyomuelewa kamdinyo sio kwamba hakuvutiwa na sura/muonekano , bali tabia
Eeeh ila hakuwa anamjua kabla.

Ila mitandao hii.
Unaweza ukatumiwa sura tu. Kapassport flan amaizing. Ukaona sura ukaridhika.

Kwenda kukutana nae. Kumbe ni picha akiwa kijana. Unakuta kajamaa kafupiii . Kana kitambi kikubwa. Kanaongea balaa. Sifa kilo moja na nusu. Na ukifika tu kanakutambulisha kwa kila mtu kuwa ww ni manzi yake. 😊😊😊😊

Utafanyaje hapo Joanah
 
Aisee kwanza hii tabia mliyoanzisha sikuhizi mpo kwenye maongezi mtu anaanza kudindisha, ni tabia mbaya sana!!

Dah! Muwe mnaona huruma sasa.
Hivi Unajua ikivimba hivyo na kulala bila kupizi inatuuma?.

Au you are too old kudanganyika na huu mtego?. 😊😊😊😊
 
Location umechagua wewe, eneo la kufika umewahi wewe kabla ya jamaa, vinywaji umeandaa, muhudumu umemuandaa wewe, zawadi sijui umeandaa wewe pia. Sasa hapo uanamke wako upo wapi?
Si huwa mnasema hamtaki wanawake tegemezi? Kajitokeza ambaye hana mambo mengi mnadeka tena?
 
Nakumbuka first date nilimualika dada mmoja ni mrembo!! Alikuja ikabidi nitoke kumpokea nje ya hotel husika ile nafika tu kaniona kanikumbatia kwa nguvu kaanza kuliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu wananishangaa mimi na iyo ndo mara ya pili tunaonana baada ya maongezi ya muda mwingi kwa simu. Aisee alikuwa analia kwa nguvu namuuliza nn shida hasemi analia tu ikabidi nimuweke kwenye gari nikarudi ndani ya hotel nikalipa bill yangu” nikarudi nikamuuliza unaishi wapi akasema nimemfikisha adi anapokaa akashuka nikachapa block maana sikuelewa kwakweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui alikumbwa na nn ila naisi aliachwa na bwana ake siku anayokuja kuonana na mimiπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ na mission ikawa impossible
 
Dah! Muwe mnaona huruma sasa.
Hivi Unajua ikivimba hivyo na kulala bila kupizi inatuuma?.

Au you are too old kudanganyika na huu mtego?. 😊😊😊😊
Yani mimi hata unifie hapo kama sijataka utajua mwenyewe! Ukizidiwa wahi kapige nyeto, yani muda wa maongezi ndio uanze ujinga! Kuwa na heshimaπŸ₯Έ
 
Kwa sasa wanawake hatutongozi.kwa sasa ni maneno machache ru tu ambayo ni Mrembo chukua pesa twende.unampa milioni moja ya vocha.
 
Washenzi tu
Jogoo akikutana na tetea kwa mara ya kwanza anaingia bandani kwanza tetea anakua na wenge kwa hio jogoo hua hakopeshi ni kudaka na kupanda tu bila maelezo mengi na km kuna majogoo mengine nayo yanaunga tela na yenyewe yanampanda tena ukute yupo karibu kutaga atachezea mpaka aache mdomo wazi ni kupandwa tu siku nzima baada ya wiki kashakua mjamzito anaanza kutaga, ni nature sio kitu kingine
 
Sasa wewe ni jogoo au umalaya tu unakusumbua?
 
Sasa kwanini uone kama mwamba alikuangusha kwa mapungufu Yako wewe ambayo kwako ni sahihi na kwa mwanaume sio sahihi hasa unapoongelea ishu nzima ya kuwa romantic na especially kwenye first date!? Ujeshi haukubadilishi jinsia, ujeshi haukubadilishi haiba ya kike, ujeshi haufanyi uwe in charge wa mahusiano, ujeshi haukufanyi usiwe laini asa long we ni mwanamke basi ulaini upo kwenye DNA ndo mana still unakojoa umechuchumaa, hujaipa uzito date umefanya imekuwa nyepeeesi ndo mana ikawa failed... grow up mtoto wa nyoka my weed.
 
Si huwa mnasema hamtaki wanawake tegemezi? Kajitokeza ambaye hana mambo mengi mnadeka tena?
Kudeka? Unadhani kwanini date imefail? Unadhani imefeli sababu jamaa kadindisha mwanzo mwisho? Na kama aliona jamaa kadinda kwanini moyoni asijisemee kwamba "jamaa limenielewa hili" halafu aset sasa mitego yake bila kuharibu momentum. Acheni ushamba nyie
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, lakini yote haya hayakumzuia kuonyesha patterns zake kwenye haiba ya kiume( kujiamini, kuwa mstaarabu, uadilifu) , sikumzuia, ningeyaona hayo mapema hadithi ingebadilika, kama nilivyosema hapo awali mwanaume anahudumiwa na mwanamke kama mtoto na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…