First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

My man ndo kafa kaoza kwa this niggah ๐Ÿ˜ƒ

Tena niggah with attitude ๐Ÿคจ
Unafaa sana kwa matumizi maana heka heka ndani haiwezi kuisha.
Ila ndo hivyo unahitaji introvert lasivyo mtaparuana sana bro
 
Wanawake wa JF kwa kujipa upekee ambao hawana wako vizuri. Hivi mnao date nao ni corporate and bussiness mens only? Unaweza kuta wengi humu wanaishia kuliwa na wauza CHIPSI ili wapate mlo wa kila siku. Eti mtu alikuwa anapiga chafya nikamuacha Duh!
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wacha kabisa๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ halafu i don't like introverts kwasababu am one of them

Nikiwa na introvert tutapoa sio kitoto braza
Me too am introvert, ila nikipata introvert menzagu tukaivana, mbona u introvert utaishia tu. Maana introvert under the right atmosphere huwa wanakuwa na amsha siyo ya nchi hii
 
Naomba nijibu risala yako kama mgeni mwalikwa ningekuwa Mimi kwanza ningekupongeza kwa mahali classic ulipo na pametulia pili ningekusoma ww kuhusu pombe upoje kwakuwa mi napenda kuwaigizia watu kama ninyi ningekwambia kesho Nina meeting muhimu sana hivyo nisingetumia pombe, napoendelea kujua ww una kipato kizuri ningekuletea story mbili tatu za shughuli anazofanya ndugu yangu au rafiki yangu ambazo nazijua vyema sema adabu na pesa ya kuzifanya nakuwa Sina endapo ukinisoma chap kuwa sio type yako najua medula oblangata ingenipa taarifa kwa usahihi Kisha nazichakata nikiona unaita rafiki yako na pia Sion vision yeyote kwako ninge set mchongo chap nipokee simu ya dharura Kisha najifanya kama sielew flani nakuachia bill yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ