First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Safi umeeleweka vizuri sana
 
Mwanamke mwenye hela na Mwanamke Mzuri mwisho wao huwa unafanana
Sure kuna hawa waliosoma,wawe na hela na vipodozi vinakubali japo sio wote wapo ambao hawana drama kama hawa walioko huku yani kama unamfata mtu DM mnakubaliana maana ni privacy afu anakujakukuanika huku broo ata ingekuwa ni wewe lazma upate msongo sasa sielewagi lengo la hawa viumbe ,imagine umeweka ndani 😴
Tuishi na hivi viumbe kwa Akili kubwa Pole sana kwa Mwamba naamini kama ni hela alitumia zisharudi.
 
Unajiita kamdinyo afu hutaki kudinywa..!! 😹😹😹

Wanaume wa JF washajiaminisha mkikutana ni show show 😹

Bahati yako uko vizuri kifedha, hapo wengine wangeliwa na pic zao tungeletewa wambea yote mliyofanya kwenye first date yenu…!!
 
Ili wengine wajifunze , uchafu upo huko PM wanaume wa humu wasumbufu hawajiheshimu, nadhani wanawake wengi mashuhuda na hawasemi, wanaume waharinifu sio wa kuwachekea
 
😹😹😹😹 Wewe ulikutana na wenye kazi zao..!!

Nimecheka hapo ulipomshika mkono wasikupokonye..!!
 
Reactions: EEX
Na ndio wajifunze standard matters, na niliweka mlinzi incase labda nikawekewa dawa ya kulevya kwenye kinywaji so nikilipia ulinzi na nikawapa dhamana lolote likinikuta watawajibika kwahiyo binti yule maalumu alikywepo pale anaangalia movement zote sikwenda kizembe.
kwo nidinywe siku ya kwanza?
 
Ukiwa mgenu jf unaweza jua kumejaa wanawake classy. Kumbe classic women huwezi wakuta katika nyuzi za hivi. Vijana mnaosoma mada hii Chin Up, usijione mnyonge. Mtoa mada akila anakokoa hadi ukoko wa ugali
Wahala 😹😹😹
 
Bado hujasema😅😅
 
Ili wengine wajifunze , uchafu upo huko PM wanaume wa humu wasumbufu hawajiheshimu, nadhani wanawake wengi mashuhuda na hawasemi, wanaume waharinifu sio wa kuwachekea
Kuna namna sasa yakufikisha ujumbe sister kwani kutongoza ni kosa, kosa gani kubwa huyu jamaa alikufanyia hadi udhamirie kumchafua hivyo najaribu kuwaza kama angekufanya jambo baya mfano akuwekee madawa,akimbie bili,akutukane,au akubake,au gharama ulizoingia kuandaa afu astokee 🤔 spati picha ,Sometimes tunaplay smart sana afu mnatuchkulia poa something is wrong !!!
 
Kwa maandishi yake anajiona sana, bado binti mdogo sana huyu
LAzima nijione na kujiamini, 23 years , tutsi / sukuma , nina hela, ninachapa bunduki kuliko wanajeshi wenu wengi wamajeshi ya ulinzi na usalama (nimekulia vitani muda mwingi) .kwahiyo lazima niwe classy
 
Exactly, kuna somo la kujifunza…

Nasubiri mimi nikienda kukutana na member mmoja hivi anajifanya kaka kijana, sijui nimwamkie shikamoo aone aibu kuomba kitoumbua 😹😹😹

Wanaume wa JF jau kweli ndiomana tunaogopa kukutana nao..!!
 
LAzima nijione na kujiamini, 23 years , tutsi / sukuma , nina hela, ninachapa bunduki kuliko wanajeshi wenu wengi wamajeshi ya ulinzi na usalama (nimekulia vitani muda mwingi) .kwahiyo lazima niwe classy
23 yrs kumbe na umekula kitengo jeshi?

Hapo kweli lazima ego iwe high class, maana hata service girls wenyewe tu huwa anajiona mno. So utawafanyia sana wanaume wazembe na washamba.
 
Huu ni udhalilishaji sasa
 
Mwanamke ambae sio bikra akiniletea mashauzi kwenye kunitunuku kitumbua huwa sijui namuonaje .naweza nikarequest mwingne chap nikafidia ,,😂😂
 
Mwanamke ambae sio bikra akiniletea mashauzi kwenye kunitunuku kitumbua huwa sijui namuonaje .naweza nikarequest mwingne chap nikafidia ,,😂😂
Ayiiiii Sa unamkomesha nani? 😹😹😹

Kama rahisi si ukawakaze binamu zako..!!
 
B
Hapana , hayo huwezi kujua kama umekulia kwa wazazi wakulima, tuliotoka kwenye familia zenye kash kash na vita ndio tunaelewa, siko desperate na ndio maana baada ya lisaa limoja nikatupia date kwa dustbin
Basi nikushauri, likija swala la dates, hususani first date, mwachie mwanaume ndo apange kila kitu hapo ndo utajua aina ya mwanaume unayeenda kufahamiana nae! Baada ya hapo kama first date imeenda salama zinazofata unaweza kusimamia wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…