First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

B

Basi nikushauri, likija swala la dates, hususani first date, mwachie mwanaume ndo apange kila kitu hapo ndo utajua aina ya mwanaume unayeenda kufahamiana nae! Baada ya hapo kama first date imeenda salama zinazofata unaweza kusimamia wewe!!
Nimekuelewa
 
Hauna miaka 23, hauna hilo gari wala hizo pesa, hauna mwonekano mzuri, hauna aibu wala adabu na hauna bahati kiufupi unajiuza sema soko limekuwa gumu , weka location yako halisi wanunuzi wakununue fasta.
 
Ai ungemtag tu.Yaani kama ni mtu wa tungi mbona anajulikana,ila sizani kama alilewa kiasi hicho🤔🤔.Au ni kweli maana yule Dr anazinywa,si ajabu muda huu yupo na glass.
 
Hauna miaka 23, hauna hilo gari wala hizo pesa, hauna mwonekano mzuri, hauna aibu wala adabu na hauna bahati kiufupi unajiuza sema soko limekuwa gumu , weka location yako halisi wanunuzi wakununue fasta.
Umeandika kwa uchungu sana masikinu ya Mungu😅😅🙌
 
Hauna miaka 23, hauna hilo gari wala hizo pesa, hauna mwonekano mzuri, hauna aibu wala adabu na hauna bahati kiufupi unajiuza sema soko limekuwa gumu , weka location yako halisi wanunuzi wakununue fasta.
Kule unamsapoti huku unamkanda si ndio mwanetu😎
 
Ila mbona sijaona kosa langu mpaka unikomoe ivyo kwa zile bills😀.
 

Kumbe ni ww na yule mwenzako ndio mnaletewaga picha?😎😎😎.

Najiuliza. Hao watu wamewaletea maumbea na mapicha. Nyinyi kama nani?.

Anyway. Hayanihusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…