Sisi masijala lazima kumbukumbu zitunzwe ili kurahisisha lolote likitokea pindi penzi liki-expire πΉπΉπΉKumbe ni ww na yule mwenzako ndio mnaletewaga picha?πππ.
Najiuliza. Hao watu wamewaletea maumbea na mapicha. Nyinyi kama nani?.
Anyway. Hayanihusu.
Ishu ni dipuKumbe huwa mnakutanaga kweli, najuaga ni utani tu
Mweusi, Maji ya kunde au Mweupe?Nakumbuka Wazee ndiyo walienda kumchumbia mke kwa niaba yangu
Sikuwa namjua kabla
Nipo zangu Chuo Kikuu mwaka wa mwisho, naambiwa ukimaliza masomo Urudi nyumbani, Kuna jambo la muhimu tuzungumze (Mzee ndiyo ananipa hayo maelezo kwenye barua aliyonitumia kwa Posta)
Baada ya kurudi nyumbani, nakutana na mgeni ambaye hakuwa mwanafamilia
Jioni Mzee akiwa na Wazee wenzie wakanipa taarifa kwamba yule binti aliyekuwa anatutengea chakula mchana, ndiyo mke wangu
Sikuwa na jinsi, niliitikia maana mchumba mwenyewe alikuwa kisu balaa
Shape nzuri, mrefu kiasi, lips laini, nywele nyeusi, amezifunga na kibanio Cha Uzi
Kuingia naye kitandani usiku, nakuta kitu sealed
Baada ya siku mbili ndiyo nikafanikiwa kulenga goli
Ndiyo bibienu huyo, tupo tunazeeka pamoja tangu mwaka 47 hadi sasa ππ
Maji ya kunde, ndiyo maana tumetulizanaMweusi, Maji ya kunde au Mweupe?
He was amateur dont bother himTulipanga siku, muda na hoteli ya kukutana, kama mnavyojua tena kunakuwa na hisia mchanganyiko, hamu ya kuonana, hofu na vitu kama hivyo.
Siku ya siku nikajiandaa mapema nilifika saa nzima kabla ya muda tuliopanga kukutana ili kuweza kuyasoma na kuyazoea mazingira ya hapo.
Sikujiandaa tu kwa mavazi na urembo, nilibeba pia fedha za kutosha shilingi ya Tanzania na faranga ya Rwanda kwahiyo nilikuwa full package
Nikafika nika book eneo la V.I.P lakini kama haitoshi niliomba muhudumu mmoja awe karibu muda wote nitakaokuwa pale ahakikishe huduma zote anatuhumia na ahakikishe nakuwa salama yaani anilinde( nililipia huduma hii).
Sababu nikikwamba nakutana na mtu ambaye hatujawahi kuonana na pia sijui tabia zake.
Baada ya kukamilisha yote nikaagiza kinywaji taratibu kuvuta muda niweze kumpokea " mwenzangu".
Tuliwasiliana kwa njia ya simu na alinieleza hayupo mbali anakaribia mahali nilipo muda si mrefu, na kweli baada ya dakika chache aliwasili akiwa katika gari dogo nyeupe, niliitambua kwakuwa alikuwa anakuja aliniambia nitafika hapo kwa gari nyeupe .
Baada ya kugundua muhusika ni yeye kwa heshima nilienda kumsalimia kwa kumpa mkono na kupiga goti la heshima( huwezi jua huenda ndio mume huyoπ π).
Nikamuelekeza mahali ambapo ndio tutakaa kwa mazungumzo ( ingawa hapa alionyesha mshituko kidogo mana kulikuwa v.i.p na hakuna mtu hata mmoja zaidi ya yule dada muhudumu niliye book)
KWahiyo nikamkaribisha sehemu ya kukaa na binti akasogea hapo kwa ajili ya kuchukua oda ya vinywaji na chakula. ( mwanaume ni handsome na nakiri ana "vitu vyangu".
Kosa la kwanza: nikiona kama amepoteza kujiamini , wasiwasi na hofu vimemkumba as if hakutarajia yote haya au hakujipanga ipasavyo. Sikujali.
Tukaendelea kunywa na kula huku tukibadilishana maongezi ya hapa na pale huku nikimsoma.
Kosa la pili: hakuwa na cha maana kabisa cha kuzungumza yaani kama haelewi au akili imehama kabisa hakuwa comfotable.
Akaniuliza kwanini tusihame hapo twende tukaongelee chumbani hoteli?π π
Nikawaza hee... huyu umbwa anataka kuichapa leo leoπ π " "nikawaza leo utato ba moto"
Kosa la tatu: akakosa utulivu na heshima baada ya pombe kukolea, akawa toliet mara kwa mara na muda wote sehemu ya uume imesimama na kutuna anahangaika kubadili mikao tuπ π " kama umenipakia mkongo leo utajua hujui.
Muda wote sasa mada ni kunibembeleza to book chumba tuhamie ndani
NAmi kufikia hatua hiyo nikawa nimeshamshusha thamani na kujua kwamba huyu sie niliyemtegemea. Kwamba hanifai na sio siri nilipata hasira kwasababu nilichukulia date kwa uzito mkubwa na shauku ya kukutana na mtu ambae kama ingekuwa bahati nzuri basi awe mume wangu.
Nimalizaje hasira zangu? Nikapiga simu chap kwa mashoga zangu waje nilipo, baada ya lisaa walikuwepo hapo na nikawatambulisha kinafki kwamba nipo na shemeji yenu karibuni kufahamiana.( jamaa alionyesha mshituko akanywea tulii)
Vikaangizwa vyakula hapo na pombe za kutosha, kwa fujo sana timu ikawa inashambulia bandika bandua, ( nikajisemea kama akishindwa kulipa nitalipa, lakini lazima nimuachie somo ili siku nyingine awe na heshima.
Vilipigwa vyombo ikaja bili ya kwanza akalipa, ikaja ya pili akalipa, tunaagiza ya tatu akawa kama amekata moto, hofu imemjaa , wasiwasi + Kutetemeka nadudu yake imepotea kutunaπ π .
Nikasema hapa ndio penyewe lazima ukome.
Baada ya kuona sasa mambo magumu akaanza kutafuta nafasi ya kujinasua amelewa chakari, akaaga aondoke tutaonana siku ingine.
Nikatoka nae nimsindikize , lakini pia nikamwabia twende nikupe zawadi yako( nilinunua ua pamoja na saa nzuri sana nilipanga nimpe) tunafika kwenye gari yangu sio kwa mshituko huo aliopata( disco 4 black lipo kama jini au shetani)π π ( pombe imemtoka anauliza "hii yako?" Nikamwambia "eeh yangu")
Akaguna "duh!"
Nikamuaga hapo na kiss na hug , alipowasha na kuondoka tu nikachapa block kila mahali na ignore juu kwenye mtandao huu.
Nikarudi zangu ndani tukamalizia vinyaji tukaondoka.
Matarajio yangu: Haikuwa sex wala pesa, nilitamani kufahamiana nae vizuri nikitarajia aewe mtu muhimu kwenye maisha yangu lakini tabia aliyoionyesha kwa muda mfupi ule akawa amepoteza sifa ya mtu niliyemtarajia.
Funzo kwake kama alipenda ngono zaidi haikuwa na sababu ya kuhangaika angeenda tu kununua una book hoteli unaitisha mwanamke anakuja unakula nae maisha mambo mengine yanaendelea.
Kwanini umsumbue mtu PM wiki kadhaa wakati huna cha ku offer zaidi ya tamaa ya ngono?
NIlijua ukideti humu unaweza kupata mtu wa maanaπ π π
Basi ndugu zangu hivyo ndio ilivyokuwa.
Vitu vya kawaida hivyo kuna mtu alinipa ua na post kadi 2012 hadi leo ipo kwenye mafaili yangu kama mpya tuUlimnunulia ua mwanamme kama zawadi
Mbona hukurudiπNitarudi
Nilirudi kusoma comments πMbona hukurudiπ
Ulikuwa dated ukiwa na umri gani mkuu?Tulipanga siku, muda na hoteli ya kukutana, kama mnavyojua tena kunakuwa na hisia mchanganyiko, hamu ya kuonana, hofu na vitu kama hivyo.

Mimi nsingelipa Bill za Rafk zako.Tulipanga siku, muda na hoteli ya kukutana, kama mnavyojua tena kunakuwa na hisia mchanganyiko, hamu ya kuonana, hofu na vitu kama hivyo.

Kwa hio wanaleta standard ambao hata wao zinawasumbua kuzimudu sio?
Watusi hao wanapenda sana hayo.Rwandani Patriotic front hili ilikuwa kama jopo la.....!
Eng Cocaπππ
Sikumbukiii, πππEng Coca
First date ulipelekwa wapi??
π€£ π€£ π€£ yaaniHawa hawa ndo tuko nao humu wanachangia Uzi wa vifurushi au bando la simu kuimbiwa MB zinaisha haraka