First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

sasa huwa mnatakaje et bibie
 
Wanaume ma HB Wana shida gani? Hakuna jambo Lao linafanikiwa,🤣🤣
 
Nikashindwa kujua kosa lake nini?
Kukutaka kimapenzi

Kwamba ukiwa huna gari au masikini ni kosa?

Maana ulivyoleza ulimkomoa kwa kuita marafiki zake ashkndwe kulipa bill ...why?

Sioni tofauti yako wewe na yeye
 
sasa huwa mnatakaje et bibie
Mahandsome na wanawake wenye matako hawana tofauti, huwa hawana content kichwani.

Dada amaeleza vizuri jamaa kichwani hakuna kitu yeye ni kusifia Tu na Mwisho anataka Wakala siku hiyo hiyo.

Gen Z ndio ukimtongoza Leo kesho unakula, pia inaonekana Ma Handsome hawaheshimu wanawake, Wana Ka dharau fulani
 
sasa alitaka waogelee biashara au aogee nin?
 
Mambo ya first date ni ya wazungu . Mimi nikichukua namba yako leo, kesho njoo gheto tuangalie movie, tupige story na tucheze kombolela.
Haya mambo ya kupelekana restaurants, kukaa mezani kuangaliana na kuulizana maswali ya interview ni kupoteza muda na kuchoshana tu.
Kama hutaki kuja gheto, basi endelea na habari zako.
 
Sahihi lakini sio salama...
And class yako its matter...

Mimi bana first date yetu na mke wangu ilikuwa home kwangu, daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…