First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Kamasi na kinyaa basi tafrani
 
kamdinyo naona ulijiandaa vilivyo ila mwamba akazingua.

Ila why blocked?. Kwann usingemwambia kwa sms nn umeboreka nae?.
umeshampenda kwa Sura. Kwahiyo Mengne yangeongeleka.

Je Yeye pia alivutiwa na ww?. Alisema ww ni vitu vyake?.
Je Hakutafuta means nyingne za kukutafuta. after blocked?.
Au na yeye alishukuru ww kutomtafuta?.

Kumuitia marafik zako ili Bill ipande zaidi pia haikukaa sawa.
Ww ni mtu mzima, ungemkataa mwana kiaina na sio kufanya ulichomfanyia.

Na bado ukamkomoa zaid kwa kumuonyesha kuwa una gar kubwa zaid yake.
Dah!

shem naomba mawazo yako kwenye hili ephen_
 
kuna vingi natakiwa nijifunze kwako ukitamani umezini
Kwel mkuu...... niko nalifanyia kazi......... nafanya kila linalowezekana.... japokuwa shetani analeta mashambulizi makali, ila najitahidi kuichomoa.... japokuwa age yangu ma wet dream yananichanganya sana...
 
Kwahiyo unajikuta wa thaman au sio mwanetu ,, mwanamke siku zote huwezi kujisifa mbele ya mwanaume et angepata bahati mwanamke unakuwaje bahati kwa mwanaume nitakukamata tu sio kwa kile kizinga
 
Kwel mkuu...... niko nalifanyia kazi......... nafanya kila linalowezekana.... japokuwa shetani analeta mashambulizi makali, ila najitahidi kuichomoa.... japokuwa age yangu ma wet dream yananichanganya sana...
kadri unavyojizuia ndo unazidisha hatar mkuu
 
Jamii forum wote humu wana magari makali sana aisee kasoro mmakonde mimi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…