First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Hapana! Nilichukulia tukio kwa uzito, uwezo ninao kwanini nisiandae mazingira?!
 
πŸ˜‚haya mambo bwana
 
Nikashindwa kujua kosa lake nini?
Kukutaka kimapenzi

Kwamba ukiwa huna gari au masikini ni kosa?

Maana ulivyoleza ulimkomoa kwa kuita marafiki zake ashkndwe kulipa bill ...why?

Sioni tofauti yako wewe na yeye
Soma vizuri, kosa lake ni kudhani mimi ni malaya wa bei ya jioni, kwamba anikaze siku ya kwanza tu kuonanaπŸ™„
 
Nadhani ya kwangu ilikuwa ni kati ya Flora na Fatuma.

Sikumbuki vizuri nilianza na yupi maana imekuwa kitambo.

Pia, namkumbuka Mary Sanga na Mwasiti Mussa.

Hawa wawili ndo walinifanya nikose kabisa imani na mambo ya dating πŸ˜€.
 
Ilikuwaje ukakosa amani mkuu? Hebu dadavua...
 
HI ni chai halafu ni Tangazo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kwangu ilienda so well πŸ˜‚ mpaka leo tupo pamoja, sasa analea mtoto wa pili. Tatizo mtoto amerithi ujinga wangu, mtoto kiriziπŸ˜‚πŸ˜‚ dada wa watu anahangaika naye hatari
Angejua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…