First eleven ya Simba 2022 - 23

Sackho m
Sakho eti nn??
Utopolooo waza team yako, poleeeeeeh

Sakho eti nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utopolooo waza team yako, poleeeeeeh
Bora uulize kuliko kuanza kwa ubishi.

Sakho hajakomaa.
Bado hajakua si mchezaji wa kumtegemea akupe goli 15 plus kwa msimu.
Mchoyo,mbinafsi.
Hachezo as a team work.
Anapoenda kucheza na jukwaa
 
Hata mumpange habiba na koku..

Kipigo kipo pale pale.
 
Sackho m



Bora uulize kuliko kuanza kwa ubishi.

Sakho hajakomaa.
Bado hajakua si mchezaji wa kumtegemea akupe goli 15 plus kwa msimu.
Mchoyo,mbinafsi.
Hachezo as a team work.
Anapoenda kucheza na jukwaa
Iwazie team yako utopolo.
 
Pamoja na uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo hebu jiulize maswali haya machache kupima hoja zako, mzungu amecheza mechi ngapi akiwa simba sc,? amecheza dakika ngapi akiwa ndani ya simba,? ana muda gani kwenye timu ya simba sc toka amesajiliwa,? kule ismailia pre-season alikuwepo? ukijibu hayo maswali utajua ulichokiandika ni kudhihirisha ulivyo na akili ndogo kuchambua mambo.. dunia ya sasa inahitaji watu wanaotumia akili zaidi kuamua mambo kuliko hisia zinazochochewa na mihemko.
 
MZUNGU na Manzoki unamchagua nani first eleven????
Kwa kuzingatia mambo kama.

1.mazingira.
2.Ndumba.
3. Chakula.
4. Viwanja.
5.miundombinu kwa ujumla
6. Uzoefu nk......
 
Akpan anaenjoy box to box 8 costal Alikuwa anachezeshwa 8.

Okwa ni 8 lakini mpira wa kisasa unahitaji ku balance kulinda na kushambulia unahitaji 8 mwenye uwezo wa kucheza Box to box kushambulia na kukaba.

Okwa anaenjoy Sana 10.

Pale Simba sidhani kama kuna mchezaji anaweza kuitendea Haki 10 kama Chama jr
 
Wewe kachambe karanga tu na Saida Kalori
Watu wazima wanajenga hoja na si maneno ya kitoto kama hayo.

Jamii forum ilikuwa ni jukwaa la Great thinkers wala si watu wa hovyo hovyo.

Toa hoja , Jenga hoja ujibiwe na si matusi. Ujuaji na dharau. Haziwezi kukusaidia
 
Pale Simba sidhani kama kuna mchezaji anaweza kuitendea Haki 10 kama Chama jr
Hatujui mbinu za kocha.
Chama TATIZO lake slow na KUSHINDWA kufanya pleasing timu isipokuwa na mpira.

Okwa yupo na speed kubwa high pressing, pressing nk.

Ila chama ni fundi Sana,wa kufunga na kuasist.

Ila amepata washindani phili na Okwa
 
Peter Banda yasije yakamkuta ya Jesse Lingard, maana Lingard kila siku alikuwa anaonekana kama kinda ajaye hatari mpaka juzi Lingard kashtuka ana miaka 29 imebidi aondoke sasa Man Utd
 
Hatujui mbinu za kocha.
Chama TATIZO lake slow na KUSHINDWA kufanya pleasing timu isipokuwa na mpira.

Okwa yupo na speed kubwa high pressing, pressing nk.

Ila chama ni fundi Sana,wa kufunga na kuasist.

Ila amepata washindani phili na Okwa

Kama vipi kocha awaweke wote, Phiri 7
Okwa 8
Chama 10.

Sakho wakati mwingine simwelewi kwa sababu kadhaa..

1 Si mzuri kurudi kusaidia kukaba
2 Ana kama kautoto fulani ka kucheza na jukwaa
3 ana tabia ya kukaa sana na mpira
 
Kama vipi kocha awaweke wote, Phiri 7
Okwa 8
Chama 10.

Sakho wakati mwingine simwelewi kwa sababu kadhaa..

1 Si mzuri kurudi kusaidia kukaba
2 Ana kama kautoto fulani ka kucheza na jukwaa
3 ana tabia ya kukaa sana na mpira
Mpira wa kisasa mashindano makubwa unahitaji kwenda na DUBLE pivot Viungo wawili wa UKABAJI. 6.8
 
Kanute mzamiru na mkude ni old fashioned holding midfielder kazi yao kucheza rafu hawapandishi mashambulizi wanacheza kama chandimu.
 
Mkuu, unataka kiungo akupe goli 15 kweli?
League michezo 30
AZAM sport michezo 6.
League ya Mabingwa michezo 10-12
Mapinduzi siesabii.

Jumla michezo 46 mchezaji asikupe hata Magoli 15 tu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…