First eleven yangu Taifa Stars AFCON 2019

Toa mudhahiri na yahya zijui weka Kelvin John na Ulimwengu.
Aishi Manula,

Erasto Nyoni, Abdu Banda, Aggrey Morris Kelvin Yondan,

Mao Mkami,Simon Msuva,

Mudathir Yahya, Mbwana Samata, John Bocco, Yahya Zayd
 
Bado tunamhitaji mkude na Ajib ... Huwezi peleka Afcon magolikipa wa5[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


!
!
Hivi Hairuhusiwi Kuwa Na Magolikipa Watano Kwenye Mechi Moja. Wote Wanataka Halafu Ndani Tunakuwa Na Wachezaji Watano Tu
 
Nyoni ameanza lini kucheza namba 6 kama Hana nafasi Kwa mabeki atemwe tu
Ni rahisi kutemwa AMUNIKE kuliko Nyoni... yule kiraka 2,4,5 na 6 anacheza na anaweza kupandisha timu.
 
Toa Mao Mkami weka Chilunda ili kuongeza pressure za kutafuta magoli maana huo ukuta wako unatosha kabisa.
 
Kwa kweli ZIMBWE sioni nafasi yake kabisa.. Lishe duni sana..
 
Adi Yusuf anakipiga Sollihull Moore na si Blackpool
in fact yako vizuri sana,, atasaidia kwa kiasi chake endapo atapewa nafasi,, ingawa nina wasiwasi na hilo kwa kuwa kocha atataka kupanga wachezaji waliozoana,,
Amesaini Blackpool
 
Sasa Amunike anamuamini mtu Sasa?? Kuna dogo yuko uingereza sijui U17 aliitwa hapa bure hata hakucheza huyo Adi yusuph sijui km atacheza hii stars ya tapeli Amunike [emoji23] [emoji23]
Acha chuki kaungane na mwenzio mtumie muda vizuri kwa kuendesha bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…