Habari ndugu,
Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba. Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa biashara utakaonifanya kuwa bilionea wa kwanza wa JF. Hii ni habari njema sana kwangu na kwenu pia. Tutendelea kuwa pamoja.

Shikamoo
unataka kutuambia utamzidi le bilionea baharia kubwa kubwa
ha! ha! ha! ha! ha!
le mashuz
Tutaaminije? Weka jina lako kamili.
wa kwanza? pole umechelewa lakini karibu tupo wazee wazima huku tokea mababu na mababu.
Shikamoo
Mkataba wa kifisi au kifisad?
umejuaje kuwa hakuna mabilionea wengine humu hagdi uwe wa kwanza? unapolalia wenzio ndo wameamkia hapo.
Acconut ya kila mwanchama wa JF unajua ina shilingi ngapi hadi useme wewe ni billionea wa kwanza?
unataka kutuambia utamzidi le bilionea baharia kubwa kubwa
ha! ha! ha! ha! ha!
le mashuz
Ukipata hayo mabilioni tustue walahoi tukupige ngeta at least tuweze kusurvive.
LABDA uwe wa pili....mimi nipo jf tangu 2010
hahH ana utani huyu hawezi le mutuz u know
Habari ndugu,
Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba. Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa biashara utakaonifanya kuwa bilionea wa kwanza wa JF. Hii ni habari njema sana kwangu na kwenu pia. Tutendelea kuwa pamoja.
jiandae ku host events za matajiri soon.