niaje wakuu,kuna kitu nimekumbukaaa ningependa to share ideas,do u remember you first kiss....achana na lilee la kwanza kabisaa kwa mamaa alie kuzaa,la kimahaba zaidi,mi nakumbukaa my first kiss nilikuwa darasa la kwanza,na mwezangu alikuwa vidudu,it was wet...nice duh!!huyo msichana hadi leo tukikutana ananiambia your the first person i have kiss in my life.jee wee unakumbukaa lipi??
pretaa hilo nalo neno....meru tulikuwa nomaa
Nah. . . ni kumbukumbu kwasababu a lot happened that summer. It was one crazy summer.it means anything for u up 2 now lizzy
tena nyie wa meru mlikuwa mnasifika sana....mkikutana pale kwa bibii wa barafu au kwa mama mustii wa ubuyu....
2007. . it was pretty nice.
mhandisi inaonekana hizi kisi ndo zimepelekea wanafunzi wa meru wakawa wanaanguka sana kwa ugonjwa usiojulikana!
Cmon do me a favour Lizzy ni pm how old are u?
we yakwako ulipata wapii kwenye gari mamaa mapozi1st kiss c ya kusahau yaani ukizingatia ulivyokuwa ukiisubiria wkt unaanzisha mahusiano na kuwazia "when do i get it when do i get it,,,," na ulivyopewa daaah soooo romantic iwe bed au kwenye gari,,,,,!
WISELADY HAPANA BANAA...siunajua pale kulikuwaa na makaburiii labda ndo sababu,mbayaa kulikuwa kuna kichaa anaitwa hamis nyaloo..analala kulee makaburini mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
mhandisi inaonekana hizi kisi ndo zimepelekea wanafunzi wa meru wakawa wanaanguka sana kwa ugonjwa usiojulikana!
WISELADY HAPANA BANAA...siunajua pale kulikuwaa na makaburiii labda ndo sababu,mbayaa kulikuwa kuna kichaa anaitwa hamis nyaloo..analala kulee makaburini mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
shauri yako kama ni cha kiume na kikee itakulaa kwako,nowdays hata wasichana wakazi,ma antiii sana sanaa wanatabia ya kukiss vitoto vidogo.tahazari chukuaVidudu na la kwanza! Nazidi kutamani kuwafungia wanangu ndani niwafundishe mwenyewe jamani! Wakijua kukiss saiz mpaka kufika umri wa kujua mema na mabaya si itakuwa majuto!