First kiss.....

Hiki mkizazi cha fesibuku,kiduku an dot com mmmh balaa tupu sijui tukisaidie vipi
 
kujifanyaa wanaa chezea kinyago chaa bi kira mariaa kumbee wanalazanaaa ma mtoni kulee,then pale naona siku hizii kwa mbelee zamani walikuwaa kuna makapurwaa wengi siku hizi hawapo
nyie mlikuwa mnamalizana kwenye mto wa kanisani kule
 
Kizazi cha Nyoka hiki!:shock:

Mkuu, ulizaliwa mwaka gani aisee?
First Kiss darasa la kwanza na vidudu?
Nilikuwa na miaka 9 nilipoingia darasa la kwanza lakini hadi nafikia darasa la 6 sikujua hiyo makitu, na kunanihii ndo usiseme kabisa!

Kajamaa kameanza mchezo mchafu mapema mno
 
nyie mlikuwa mnamalizana kwenye mto wa kanisani kule

sie tulikua watoto wa mapadri bana,so mambo hayo ya mton tuliwaachia nyie wana meru na majiran zenu wa kaloleni.
 
First kiss kwenye igizo st joseph/ forodhani primary those beautiful days lol, I can't imagine tabasamu nililotoa that day
 
mimi kiss la kwanza la maana, nilichalazwa na mtoto mmoja anaitwa julieta huko home kwetu nikiwa form two..ila kunanii nilianza muda..
 

mie bado mkuu. I wish...
 
kumbe huo umalaya wako uliuanza ukiwa mdogo hivyo? Loh.
 
mwongo mkubwa wee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…