Elections 2010 First lady anaahidi barabara ya Lami Mkata-Kilosa

Mimi sielewi kama nchi inatawaliwa na JK au Riz1 na mama yeke. Jamani anayejua anisaidie huyu mama atapata wapi budget?

Atatoa WAMA si alisema hata akikodi ndege WAMA NDIO WANAOMLIPIA? SASA HIYO BUDGET LADA NI YA WAMA :smile::smile:
 
Nilikua nafanya tafiti yangu nilitaka kutoa siku ya tarehe 30 lakini kwa post hii naona nitoe tu
Mpaka sasa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ameshatoa ahadi tirion 12 zaidi ya bajeti ya nchi.

Swali la kujiuliza hivi atatimiza hizo ahadi ambazo ni zadi ya bajeti ya nchi.
 
Wazee wanasema ukitaka kupima akili za mume angalia matendo ya mkewe

Huyo mama toka akiwa mwalimu na mwananchama wa CWT alikuwa na kiherehere sana! Hebu waulize CWT wakupe michapo yake alipokuwa anahudhuria vikao na semna za vyama vya wafanyakazi. Zero brain huyo!

ha!ha!ha!ha!haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Mrs. Mkwere naye! Duh!

Rais wa Nchi inapokosa msimamo mambo kama haya hutawala....si ajabu kesho ukasikia House girl wa Kikwete aahidi shule mashine ya kuosha sahani!


kwi kwi kwi kwiiiiii JF ndio hapa ninapopapendea
 
:nono:
Wazee wanasema ukitaka kupima akili za mume angalia matendo ya mkewe
:nono:

:smile-big:Hii imenichekesha hadi machozi yametoka! Nimefanya utafiti wa ghafla hapa ofisini kila mtu aliyeoa anakataa kwa nguvu zote!
Yaani nimecheka sana! nadhani hata jei kei atakataaa pia:smile-big:
 
Jamani mnatuvunja mbavu sasa. Basi na mimi naahidi kuwapiga miswaki MAFISADI na kuwaogesha kila siku ili KUONDOA HARUFU YA RUSHWA!:doh:
 
huyu mama hata kufundisha shule ni kupoteza watoto wetu tu. Anafaa sana kuwa mwimbaji wa bendi ya ToT na kampeni zake za shuka kwa shuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…