First Lady anaestahili pongezi ni Melaine Trump

Yes aaah
The man was loved, ila hasa by ladies [emoji23]

Kifo chake hakikuwa kizuri kwa kweli, familia ilikuwa una tragics kweli kweli.

Imagine, kifo chake kama cha aunt yake dada wa baba yake nae alifariki kwenye plane crash, halafu hivyo hivyo na spouse wake.
 
Eeh sasa ndio inavo kuwaga, au mume wa my WCW Theresa May. Ana lay low

Mi mwenyewe mke wangu akiwa Rais kwa kweli ntakuwa hata sionekani. There is no pride in being husband of the president jaman.

Hahaha!, eti husband wa President! [emoji3]

Ujiko je..
 
Joe was the man. Ndio akisaidia hata wizi wa kura za Illinois.
Halaf inaonekana na wewe kama wamarekani wenzio wote una wapenda sana kina Kennedy [emoji1]

[emoji28] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Eeh sasa ndio inavo kuwaga, au mume wa my WCW Theresa May. Ana lay low

Mi mwenyewe mke wangu akiwa Rais kwa kweli ntakuwa hata sionekani. There is no pride in being husband of the president jaman.
Wakienda kwenye G summit the wives wanakua na programme zao wakati presidents wakiwa kwenye meeting na mr Marckel anabaki na the wives, siku hizi ana company ya mr May
 
Imagine, kifo chake kama cha aunt yake dada wa baba yake nae alifariki kwenye plane crash, halafu hivyo hivyo na spouse wake.
Na baba ake mkubwa Joseph alifariki on duty mwaka 1944 kwa ndege. Sasa huhu ndio Joe alipenda sana aje kuwa Rais.

Alinisikitisha sanaaa! (Japo nilikuja kuisoma tuu baadaye)
 
Hahaha!, eti husband wa President! [emoji3]

Ujiko je..
Kwa sisi wanaume hakuna pride kubwa mkeo akifanikiwa sana. Zaid zaid unaonekana wewe ni mzembe.

Ila nyie wenzetu si unaona mtu akiwa frist lady anatupa shidaaa! Yaan kuwa tu Mrs wa President kwake raha. Na jamii ina.msifia kwamba mmeo ni jembe na wewe ni jembe pia.[emoji1]
 
Joe was the man. Ndio akisaidia hata wizi wa kura za Illinois.
Halaf inaonekana na wewe kama wamarekani wenzio wote una wapenda sana kina Kennedy [emoji1]

Hivi kumbe ni kweli Joe ali orchestrate kura za JFK za Illinois?!!

No wonder yule mobster alimtolea uvivu akamsema, wakati AG, RFK alivyojaribu kwenda after him on his mission against the Mafia.
 
Eti masuti yake!, lakini Iceman!
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Leave Hillary alone bwana! [emoji28]
 
Wako ends kwenye G summit the wives wanakua na programme zao wakati presidents wakiwa kwenye meeting na mr Marckel anabaki na the wives, siku hizi ana company ya mr May
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niliona sku ile wazee wako na Kina Melania na my other WCW Briggete Macron.
Mi ninge kuwa siendi asee.
 
Aiseeh!, familia haijamtenga?

At least anasawazisha kidogo..
 
Hivi kumbe ni kweli Joe ali orchestrate kura za JFK za Illinois?!!

No wonder yule mobster alimtolea uvivu akamsema, wakati AG, RFK alivyojaribu kwenda after him on his mission against the Mafia.
NIxona was robbed in 1960, na hicho ndio kilikuwa chanzo cha Nixon kubadilisha mtazamo wake wa kisiasa na ku prefer siasa chafu tuu tho later ili mcost. Niliuanidka uzi wa uchaguzi wa 1960. Kautafute utauona. Japo haukupata washabiki kabsaa. Si una jua Jf na hayo mambo watu hawajui.

Hahaha, wengine huwa wanadiriki kusema yale ma mob ndio yalimuua JFK kwa kuwa walikuwa na hasira naye. Hasa baada ya kuanza kifuatiliwa.
 
Na baba ake mkubwa Joseph alifariki on duty mwaka 1944 kwa ndege. Sasa huhu ndio Joe alipenda sana aje kuwa Rais.
Alinisikitisha sanaaa! (Japo nilikuja kuisoma tuu baadaye)

Sad!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niliona sku ile wazee wako na Kina Melania na my other WCW Briggete Macron.
Mi ninge kuwa siendi asee.

Hehehe! [emoji28]
 
Ntautafuta Uzi.

Inawezekana hawa walihusika kiasi na hizi assassins, halafu pia, it can go all the way back to Joe himself.
Kama tayari alikata corners kwenye uchaguzi wa mwanae, who knows what else he did for power..
 
Aiseeh!, familia haijamtenga?

At least anasawazisha kidogo..
Its politics, Republican ya saa hizi ni ya Trump hata kina bush wana lijua hilo, alimuona baba yake vile alivo anguka kwa ku mbash Trump.
Na yeye kwa kuwa ana akili za kisiasa alienda mziki. Ime mlipa lakini.
Na Trump ana mkubali sana tuu. Anasema George alimsapot kipind ambacho kumsapot haikuwa fasheni kwa hiyo na yeye ata endelea kumpa sapot.
 
Ntautafuta Uzi.

Inawezekana hawa walihusika kiasi na hizi assassins, halafu pia, it can go all the way back to Joe himself.
Kama tayari alikata corners kwenye uchaguzi wa mwanae, who knows what else he did for power..
No one knows kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…