Wanampenda kwakuwa ameweka America First, amefuta ile green card lottery[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Trump ana watu wake hao kwao hakoseagi. Yaan wale ni kama worshippers wake.
Huyu jamaa huwa nashindwaga kumuelewa aliwashikaje vile majamaa.
HahahaWana pends kwakuwa ameweka America First, amefika ile green card lottery
Do it bhana si unajuaga mi na wewe tunaelewanaga wenyewe mambi yetu. [emoji1]
Sky ata pata shda kunipa stori.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji125] nime muacha apumzike mama wa watu.
Wanampenda kwakuwa ameweka America First, amefuta ile green card lottery
Hahaha
Na yeye ana wajuliaga kweli ana fanya vike vitu wanataka afanye.
Waliobaki ni [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] tuIla kwenye couple inayovutia kwa marais ni ya Obama na Michelle