Sky, hii role ya first lady haikuelezwa vema katika taratibu za nchi. Ni siku za karibuni imekuwa kama sehemu ya shughuli tuTuna bahati kubwa sana ya kupata ma First Lady kutoka taaluma ya ualimu. Kutoka mama Maria Nyerere, mama Salma Kikwete na sasa mama Janet Magufuli.
Wanapoingia Ikulu ni wazi kuwa wanakuwa na majukumu mapya. Sasa zile ajira zao huwa wanachukua early retirement?
Asante kwa ufafanuzi huu mkuu Nguruvi3. Swali ni kuwa mfano mimi mpika chapati nilieajiriwa na DDC, 2020 Asprin ameibuka mshindisasa ule mkataba wangu na DDC unavunjwa na kuingia mkataba mpya maana Nani atakuwa na guts za kuuliza kama ule mshahara wa DDC bado unaingia kwenye account yangu?Sky, hii role ya first lady haikuelezwa vema katika taratibu za nchi. Ni siku za karibuni imekuwa kama sehemu ya shughuli tu
Mama Maria alikuwa na jukumu la mama wa Taifa akimsaidia mzee nyumbani, ofisini n.k.
Hakuonekana kama 'first lady' wa siku hizi kwasababu alifanya majukumu yake bila taasisi rasmi na wala hakutaka media ziwe sehemu ya majukumu yake
Baada ya Mwalimu, Mzee Mwinyi naye alifuata nyayo kwa namna fulani, wakeze wakiwa na majukumu ya nyumbani na kimataifa kimya kimya bila taasisi au media
Baada ya hapo ndipo tukaanza kuona first lady wakiwa na taasisi. Kazi zao hazikuainishwa kikatiba lakini wana majukumu 'ya kitaifa'.
Ni kama utamaduni tumeiga lakini hatujautengenezea taratibu zitakazo fit na jamii yetu.
Ndiyo maana kila mmoja anakuja na taasisi yake na akiondoka anaondoka nayo
Sasa unapouliza ajira zao, sky, ajira ni ili ikupe mkate wa siku. Labda nikuulize wewe Sky Eclat , ikiwa unafanya kazi sasa hivi na unapewa milioni 2 kwa mwezi, halafu kukawa na majukumu mengine yanayokuhakikishia milioni 10 kwa mwezi, utaitizama ajira yako kwa masikitiko?
Kuna ajira za umma, na ajira za mkataba. Ukiwa katika ajira za umma kama Mwalim, Daktari nikimaanisha mwajiriwa unaweza ku-resign tu hakuna tatizo. Utafanya hivyo ukijua kwa namna fulani umevunja mkataba mwenyewe na hakuna malipo ya ziada
Sasa nimeelewa lengo la uzi wako. Kwa maelezo ya mwalimu wangu juu ya hoja yako, nadhani ingekuwa vyema Waziri wa masuala ya utumishi aandae muswada na kuupeleka bungeni unaolega kutambua cheo hiki rasmi na majukumu yake yaanishwe kiutumishi. Kama waziri wa mambo ya Utumishi hawezi basi waziri wa katiba na sheria apeleke mapendekezo ya kuboresha katiba ili kichomekwe kifungu cha kutambua majukumu ya 'First Lady' wa taifa....kuingia mkataba mpya maana Nani atakuwa na guts za kuuliza kama ule mshahara wa DDC bado unaingia kwenye account yangu?