First Lady Margaret Kenyatta meets with Prince Harry, rock star Sir Elton John

Huyo mama anapenda sana tembeza bakuli omba omba na kutimua mbio!
Mnasema kana kwamba wewe na nchi yako matajir Sana huku wananchi asilimia kubwa hawajui kusoma na kuandika na ni masikini na bado mnawaibia
 
Nimeona kiingereza kinakukanganya bure ila sijaona ukitupia maoni kuhusu hoja inayojadiliwa hapa. Au kazi ni u'socialite' tu na kuzurura zurura hapa Kenyan news? 😀
Wewe limbukeni unafikiri unamtisha nani na Kiingereza. Kama sio kujiona duni ni nini sasa?
 
Huyo mama anapenda sana tembeza bakuli omba omba na kutimua mbio!

Huo mkutano ulikuwa wa kusaidia Afrika nzima kama ilivyo tajwa hapo juu, haukuwa wa kusaidia Kenya pekee.
 
Yaani nyang'au wakikutana na wazungu ndio wanajionaa. Bado wako nyuma sana hawa watu.

Nadhani hukumuelewa. Yeye anaeleza vile first lady wakenya kuwa active. Kulingana na taarifa hiyo, first lady is actively participating in matters of improving HIV etc. she has also been active in kenyan health care. Haikuwa mambo na mzungu wala nini bali ilikuwa na kazi ile anafanya.
 
Aaah shauri yenu, mtajuana huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…