First Lady Margaret Kenyatta meets with Prince Harry, rock star Sir Elton John

Shukran jombaa. Nilimaanisha hivyo. She is always up and about for good causes. Last time they did an opinion poll, she was more popular, the president and all the talking heads coming second after her. Ila usijisumbue sana kupigia mbuzi guitar, kuna mambumbumbu fulani hapa jombaa. Very idle!
 
bhang = fangi,sigara kubwa, dom, Gìthukia tombo, mary jane.. There is only 1 president in EAC that smokes that..May be he shares with his wife because the both normaly look stoned
THC is now the most studied component....CBD has medical properties.......smoking or ingesting cannabis is currently the safest way be high..with more states legalizing cannabis latest being California....Canada next
 
On a different note, Huyo prince harry aliniudhi sana alipo muoa Megan Markle na kumuondoa kwa Tv show ya suites,
Hahaha! πŸ˜€ Alikuwa anashine sana kwenye hiyo series ya Suits. Hata kama ni kuigiza bana, yule wakili feki alikuwa anafaidi sana na hicho kifaa.
 
Hahaha! πŸ˜€ Alikuwa anashine sana kwenye hiyo series ya Suits. Hata kama ni kuigiza bana, yule wakili feki alikuwa anafaidi sana na hicho kifaa.
hihihihi Mi niikua nikipenda macho yake , ukimuangalia kwa macho unachanganyikiwa na kusahau kila kitu, ni kaa ana kengeza wa mbali vile

hihihihi Mi niikua nikipenda macho yake , ukimuangalia kwa macho unachanganyikiwa na kusahau kila kitu, ni kaa ana kengeza wa mbali vile

Sexy Meghan. Kuna ile scene ambayo alichangamkiwa videadly kwenye file room ya zile ofisi za lawfirm yao. Dah! Acha tu! Haha! πŸ˜€
 
THC is now the most studied component....CBD has medical properties.......smoking or ingesting cannabis is currently the safest way be high..with more states legalizing cannabis latest being California....Canada next
Presidents should not smoke cannabis, They endup fxucking up their countries like the way Ganja1 is currently poisoning your mother with Mercury sugar
 
safi sana mazeee.... magu angeishia kubwaja bwaja tu kisukuma huko ugaibuni na kutia aibu africa!
kwa hiyo mtu akishindwa kuzungumza kiingereza huko ulaya ndo huaibisha afrika???
kama wakenya wote akili zenu ziko hivi inabidi tuwafanyie maombi!
 
Poa.

Btw mimi ni msichana. Nadhani jombaa ni mwanamume ama? πŸ˜‰πŸ™‚
 
Hahaha! πŸ˜€ Alikuwa anashine sana kwenye hiyo series ya Suits. Hata kama ni kuigiza bana, yule wakili feki alikuwa anafaidi sana na hicho kifaa.
hihihihi Mi niikua nikipenda macho yake , ukimuangalia kwa macho unachanganyikiwa na kusahau kila kitu, ni kaa ana kengeza wa mbali vile

He kissed a Princess something some of us will never accomplish na pia akajenga jina manze ki-Team mafisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…