Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,620 Reaction score 15,134 Aug 28, 2020 #21 Nktlogistics said: First lady atoke wapi? Lissu ikulu akafanye Nini? Au mnadhani sheli pale..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeongea kwa hasira . Click to expand... Duh, hasira yako kiboko; umeua kilichokufa tayari![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nktlogistics said: First lady atoke wapi? Lissu ikulu akafanye Nini? Au mnadhani sheli pale..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeongea kwa hasira . Click to expand... Duh, hasira yako kiboko; umeua kilichokufa tayari![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,620 Reaction score 15,134 Aug 28, 2020 #22 Twamo said: Muhimu: Mke wa TAL alimuuguza kwa upendo mumewe aliyetaka kuuliwa na Ccm! Na atasimama tena na kamanda ktk kampeni za kumwondoa Stone ikulu! Click to expand... You sound like Trump’s copycat! Unsubstantiated allegations za design hii zikisikika kutoka kwa Bwana Trump haziwezi kushangaza.
Twamo said: Muhimu: Mke wa TAL alimuuguza kwa upendo mumewe aliyetaka kuuliwa na Ccm! Na atasimama tena na kamanda ktk kampeni za kumwondoa Stone ikulu! Click to expand... You sound like Trump’s copycat! Unsubstantiated allegations za design hii zikisikika kutoka kwa Bwana Trump haziwezi kushangaza.
Melvine JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 720 Reaction score 1,388 Aug 28, 2020 #23 Anajijua hawezi kuja kuwa rais wa JMT sasa uyo 'Festi ledi' wa nini na amepeleke wapi.