Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera kim unatimiza ahadi ya Mungu kwamba mwanamke utavaa kwa uchungu.
siku za mwisho wataibuka manabii wengi!!sasa naamini
hongera kim unatimiza ahadi ya Mungu kwamba mwanamke utavaa kwa uchungu.
yheir kid will be an angel! cant wait! hivi ivy blue anafananaje?
mkemwenza nataka ya sasa hivi alivyokuwa mkubwa, hiyo ya utotoni niliona na mie enzi za analojia!! hebu mwenye ya sasa anidokezee malaika huyu anafananaje kwa sasa!lol!ni mucutijeee saaasa!?wacha
![]()
yani sina hata ndoto ya kuwa nabii hapo nimekosea tu ndugu.......si unajua tena unakimbiazana na kifushi ukizingatia ni cha kuunga unga.siku za mwisho wataibuka manabii wengi!!sasa naamini
nashukuru kwa kunielewa mana wengine wameshanivamia......ila duh nimechapia vibaya.Hahahahah jaman mkono uliteleza.tumeelewa lakini ndugu