First look at Kim Kardashian's growing baby bump

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
[h=3][/h]

That's a baby bump, right? I'm feeling dizzy tonight so I might be seeing things! 🙂
 
oh really it is!
chezeya KANYE wewe!
 
hongera kim unatimiza ahadi ya Mungu kwamba mwanamke utavaa kwa uchungu.
 
yheir kid will be an angel! cant wait! hivi ivy blue anafananaje?
 
lol!ni mucutijeee saaasa!?wacha
mkemwenza nataka ya sasa hivi alivyokuwa mkubwa, hiyo ya utotoni niliona na mie enzi za analojia!! hebu mwenye ya sasa anidokezee malaika huyu anafananaje kwa sasa!
 
siku za mwisho wataibuka manabii wengi!!sasa naamini
yani sina hata ndoto ya kuwa nabii hapo nimekosea tu ndugu.......si unajua tena unakimbiazana na kifushi ukizingatia ni cha kuunga unga.
 
Hahahahah jaman mkono uliteleza.tumeelewa lakini ndugu
nashukuru kwa kunielewa mana wengine wameshanivamia......ila duh nimechapia vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…