Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,465
Ni kweli kwa wadada huwa wanawapenda sana wapenzi wao wale waliowakaribisha kwenye ulimwengu wa mahaba kiasi kwamba hata kama walikuwa wameachana mchizi akirudi lazima awin love? na ww uliyepo naye kwa sasa unaachwa solemba?
Pia ni kweli huwa ni ngumu kuwasahau watu hawa?
Pia ni kweli huwa ni ngumu kuwasahau watu hawa?