First Love

Biohazard

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
2,197
Reaction score
1,465
Ni kweli kwa wadada huwa wanawapenda sana wapenzi wao wale waliowakaribisha kwenye ulimwengu wa mahaba kiasi kwamba hata kama walikuwa wameachana mchizi akirudi lazima awin love? na ww uliyepo naye kwa sasa unaachwa solemba?

Pia ni kweli huwa ni ngumu kuwasahau watu hawa?

Hakuna mpaka hapa nilipofika a man nipo indifferent kwake kama alie kua mpenzi wangu wa kwanza... Ni the type of person hata nikimuona, hua inakua ka sijawahi mtia machoni wala simjui... yaani roho haina upendo wala chuki juu yake... Na as much as ni baba wa mwanagu hua nasahau kua he exists mpaka labda nimuone... Hivo naona hio assumption yako sio kweli....

i beleive its true, most of (gents/ladies)its hard 2 forget there 1st love.

huko n kukariri tu.mbona mi simkumbuki.na katka watu waliopta yeye akija cwez kumpa.

For me is different.namkmbuka sana 2nd lov

maoni mawili yenye mitizamo tofauti ikimaanisha ya kuwa inategemeana na wenyewe walikuwaje na wakoje hadi leo..........

i beleive its true, most of (gents/ladies)its hard 2 forget there 1st love.

is there 2nd,3rd n 6th?
Or u meant 1st person u had attraction with or sexual relation with! I believe in one true love n that l will never forget!

First relation l rarely think of.

i beleive its true, most of (gents/ladies)its hard 2 forget there 1st love.

they say that the first cut is the deepest

haswaaaa! Hasa kwa mwanamke anaeheshimu mahusiano yake mapya na kumjali sana mpenzie!

i beleive its true, most of (gents/ladies)its hard 2 forget there 1st love.

do you mean hata wewe unamkumbuka aliyekuvunjia kikombe?na hakirudi tena upo tayari kukumbushia?swali ndo lipo hapo.

do you mean hata wewe unamkumbuka aliyekuvunjia kikombe?na hakirudi tena upo tayari kukumbushia?swali ndo lipo hapo.

am sorry bt the one am living with (ma husband)is my first love.sorry 2 if u lost ur 1st love!

It was a questiion and not a comment Thanx for your gud idea.

Hili jambo kila mara linaletwa hapa.
Unataka kusema JF ni Stagnant? haiendelei? so no new members are allowed? Je unaweza ukaintroduce kitu kipya ambacho watu hawajawahi sikia?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…