Wabongo bhana , unadhani Jf kila mtu yupo mburahati au Kibaigwa ?Mchanganyiko wa Bhangi + Visungura halafu huli. Hakuna rangi utaacha kuona. Hakuna ndoto utakosa iota. Wakikuwahi unapona kabisa vizuri tu.
New York City pamekuwa nyumbani sasa. Takriban miaka 30 sasa. Nimesoma, nimenunua nyumba, nimeanza maisha, mpaka move to suburbs na naelekea kustaafu niko viunga vyake.Ninachukulia kama umeishi huko miaka mingi?
Je unajihisi mgeni(imposter syndrome) mpaka hivi leo? Unapakumbuka nyumbani? Kuna ubaguzi wowote unapata kama mhamiaji?
Huwa nasoma na kufuatilia sana mkuuKama una ndoto hizo dogo inabidi uache kuanzisha nyuzi za hovyo tulia Jf usome nyuzi za maana za wakubwa zako na utuulize watabe tukupe ramani na mawazo ya kwenda Mamtoni
Mchanganyiko wa Bhangi + Visungura halafu huli. Hakuna rangi utaacha kuona. Hakuna ndoto utakosa iota. Wakikuwahi unapona kabisa vizuri tu.Wabongo bhana , unadhani Jf kila mtu yupo mburahati au Kibaigwa ?
Ndio uje kiongozi ufahye utali, uta enjoy sanaOttawa zaidi ya serikali kuna deal gani hapo?
Uncle wangu alikuwa ubalozini hapo kitambo sana.
Dah, unanikumbusha aunt yangu kichizi.Ndio uje kiongozi ufahye utali, uta enjoy sana
Niliwahi kufika NYC last year kwenye meeting , ukiniuliza leo mimi sehemu ya ku chil kwa utulivu , USA siikubali. Vijana wa USA kuondoa uhai wa mtu ni kitu cha kawaida sana , rate ya Crime ni kubwa hata hapo NYC
Hapa Ottawa downtown ni busy area well constructed very cool . Huko kwenu aisee
Mimi mkuu ukiniambia nimshauri mtu akatafute maisha au kusoma USA au CANADA , I would recommend aende Canada , akishundwa aende UKNew York City pamekuwa nyumbani sasa. Takriban miaka 30 sasa. Nimesoma, nimenunua nyumba, nimeanza maisha, mpaka move to suburbs na naelekea kustaafu niko viunga vyake.
Najihisi mgeni?
New York City kuna wageni wengi sana, wa kutoka kila kona ya dunia, kiasi kuwa mgeni si ajabu. Meya wa sasa Mamdani ni muhindi kazaliwa Kampala Uganda.
Ugeni uliniisha nilipoanza kuwaelekeza watu njia. Hata mwaka mmoja ulikuwa haujafika tangu nilipoingia.
Nyumbani napakumbuka. Lakini nikija huko najiona mgeni pia, rafiki zangu wengi wametawanyika. Upanga na Oysterbay, mitaa yangu ya miaka ya 1980s na 1990s mwanzoni si sawa na leo.
Nyumbani kila nikitaka kurudi naahirisha sasa miaka 14 sijarudi.
Na October 29 2025 ndoyo kabisa imenifanya nione sijakosea kutokuwa na tamaa sana ya kurudi hata likizo.
Tatizo lingine ni kwamba wazazi wangu wanakuja huku karibu kila mwaka, inapunguza sababu za kurudi nyumbani.
Kuhusu ubaguzi.
Ubaguzi unapigwa vita sana na ni tusi kubwa sana mtu akiambiwa mbaguzi, ni vigumu kuukuta wa wazi ingawa wa chinichini kuuondoa kabisa ni vigumu, lakini New York City, by virtue of its population and bihgest city nature, is probably one of the least racist place in the US.
New York City ni mjinwa kimataifa, nimepata nafasi za kuongoza projects za kimataifa bila kubagukiwa, bila ya kuwa na godfather, kwa uwezo wangu tu watu wameangalia CV wakanipa kazi. Kwa namna ambayo hata Tanzania pengine ningeweza kubagukiwa zaidi ya New York City.
Inategemea unakaa wapi pia mkuu, mimi nakaa ushuani huku watu wanalala milango wazi hakuna tatizo.Mimi mkuu ukiniambia nimshauri mtu akatafute maisha au kusoma USA au CANADA , I would recommend aende Canada , akishundwa aende UK
NI Kweli USA kuna opportunity nyingi sana wenyewe wanamsemo wao
The land of opportunity, but garantii ya maisha hapo aisee
Marafiki zangu wawili mmoja alikuwa google walimuua , mwingine alikuwa baseball nae alipigwa risasi
Yupo yule mtoto wa mzee masiole… baba yake alikuwa mlinzi na msaidizi wa Mkapa , nae naambiwa alikufa huko
Alikuwa Pennsylvania
Sitak kabisa kusikia USA , hardly kukaa zaidi ya mwezi nikijaga hapo
Najua Kiranga unayo history ya kukoswa koswa
Share it
Ha ha huko Gheto masela wamepinda sanaInategemea unakaa wapi pia mkuu, mimi nakaa ushuani huku watu wanalala milango wazi hakuna tatizo.
Sasa ukienda kukaa ghetto huko ukiuawa unashangaa nini?
Jamaa umesepa tz lini?NY STREET HIO
Nimejaribu kuisoma akili yako ni kama unataka kusema jamaa yuko Bariadi.Sawa.
🤣🤣🤣🤣 jamani jamani!Nimejaribu kuisoma akili yako ni kama unataka kusema jamaa yuko Bariadi.
Nilijua tu ungeandika hivi 😂.New York ya Ilomba